What happened to kenyan music jamani?

hahahaha@SaintIvuga ushawasikia Elani,sautisol?wakenya bado wako vizuri nahisi kuna sehemu walikosea aisee...sautiosol ni world class, i like them
Pole kwa kusifia posipo sifika
 
Back to Kenya, couple things happened to Kenyan music industry; hawana ushirikiano na jaribio la kulipa mirahaba wasanii kwa kadri wanavyopigwa na vituo vya TV na radio vilipelekea kuua mziki wao. Kwenye ulipwaji wa mirahaba Tz tuna jambo la kujifunza


Siku moja ben po alisema kenyan's club hawapigi nyimbo za wakenya sana zaidi ni nigeria. leo ndio nimepata jawabu lake kumbe kasumba ya kuwalipa wasanii nayo imepelekea hilo.
 
Duh nmekumbuka mbal sana...
Tuendelee ama tusiendelee[emoji445] [emoji442] [emoji443] [emoji443] [emoji443]
Kuna mc's wengine wametutusi
Wanasema rhyme zetu ni za upuuzi
Heri sisi kuliko wao wamejawa na virus
Kumangana kila mahala kama mambuzi
[emoji444] [emoji444] [emoji444] [emoji444] [emoji444] [emoji444] [emoji444] [emoji444] [emoji444] [emoji444] [emoji444]
 
Duh nmekumbuka mbal sana...
[emoji443] [emoji442] [emoji443] [emoji443] [emoji443] [emoji443] [emoji443]
Sio lazima to do
Tunaeza enda home na kuchili tu
[emoji445] [emoji445] [emoji445] [emoji445] [emoji445] [emoji445] [emoji445] [emoji445] [emoji445] [emoji445] [emoji445]
 
Santeeeeeee.... Namna anaimbaga imenikumbusha nikiwa nasoma rombo miaka ya 2005....
 
[emoji443] [emoji442] [emoji443] [emoji443] [emoji443] [emoji443] [emoji443]
Sio lazima to do
Tunaeza enda home na kuchili tu
[emoji445] [emoji445] [emoji445] [emoji445] [emoji445] [emoji445] [emoji445] [emoji445] [emoji445] [emoji445] [emoji445]
Hii statement ilikuwa inabamba sana those days... Kuna wimbo wa swing swing..... Tuna madem wa kiafrica na siringii........... Siku iz hatuziskii
 
Hii statement ilikuwa inabamba sana those days... Kuna wimbo wa swing swing..... Tuna madem wa kiafrica na siringii........... Siku iz hatuziskii
Ye ye yeee umeniwahiii yani ndo nilikuwa nataka niuandike sasa .. Wale jamaa ni shidaaaa
 
Damnn Kenya walikua na beat kali sana Josh and Amos from Kenya hawa jamaa noma pia

walitokea kwenye Tusker project na kuna nyimbo wamefanya na saut sol
 
Damnn Kenya walikua na beat kaliii sana Josh and Amos from Kenya hawa jamaa noma sanaa

walitokea kwenye Tusker project na kuna nyimbo wamefanya na saut sol
Ni vile tu hawapewi support ya kutosha ila wakenya wanajua asikwambie mtu
 
Nimemiss kumsikia Nonini
.....kama wewe ni manzi wa nairrrobi amka na anza kukatika....... Piga ndulu! piga ndulu! .....manzi katikakakakakakakakakatikakakakakakakaaaahhhh.......!

Pia nyimbo za kenya ziko shallow sana ndo maana hazivuki border, mistari dhaifu! Alafu kitu kingine, media na wakenya kwa ujumla wakipata artist mmoja, wote wanajikita kwake na kusahau wengine.
 
Yeahh enzi hizo nonini

"si lazima tu doo tunaeza enda ghetto na tukachill tu"

Jimena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…