mountain
JF-Expert Member
- Jul 24, 2012
- 757
- 311
Duh nmekumbuka mbal sana...Wapi Clyptomaniax .....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duh nmekumbuka mbal sana...Wapi Clyptomaniax .....
Pole kwa kusifia posipo sifikahahahaha@SaintIvuga ushawasikia Elani,sautisol?wakenya bado wako vizuri nahisi kuna sehemu walikosea aisee...sautiosol ni world class, i like them
Tuendelee ama tusiendelee[emoji445] [emoji442] [emoji443] [emoji443] [emoji443]Duh nmekumbuka mbal sana...
[emoji443] [emoji442] [emoji443] [emoji443] [emoji443] [emoji443] [emoji443]Duh nmekumbuka mbal sana...
Santeeeeeee.... Namna anaimbaga imenikumbusha nikiwa nasoma rombo miaka ya 2005....Tuendelee ama tusiendelee[emoji445] [emoji442] [emoji443] [emoji443] [emoji443]
Kuna mc's wengine wametutusi
Wanasema rhyme zetu ni za upuuzi
Heri sisi kuliko wao wamejawa na virus
Kumangana kila mahala kama mambuzi
[emoji444] [emoji444] [emoji444] [emoji444] [emoji444] [emoji444] [emoji444] [emoji444] [emoji444] [emoji444] [emoji444]
Mi love wao mpaka naumwaz u knowSanteeeeeee.... Namna anaimbaga imenikumbusha nikiwa nasoma rombo miaka ya 2005....
Hii statement ilikuwa inabamba sana those days... Kuna wimbo wa swing swing..... Tuna madem wa kiafrica na siringii........... Siku iz hatuziskii[emoji443] [emoji442] [emoji443] [emoji443] [emoji443] [emoji443] [emoji443]
Sio lazima to do
Tunaeza enda home na kuchili tu
[emoji445] [emoji445] [emoji445] [emoji445] [emoji445] [emoji445] [emoji445] [emoji445] [emoji445] [emoji445] [emoji445]
Ye ye yeee umeniwahiii yani ndo nilikuwa nataka niuandike sasa .. Wale jamaa ni shidaaaaHii statement ilikuwa inabamba sana those days... Kuna wimbo wa swing swing..... Tuna madem wa kiafrica na siringii........... Siku iz hatuziskii
Wimbo wa kabinti...... Sijui kama jamaa bado upo kwenye game...Mi love wao mpaka naumwaz u know
Kuna kabinti binti kananizingua... Acha nijaribu kupita you tube kidogo nione kama ntakumbukia enzi zangu za utotoWimbo wa kabinti...... Sijui kama jamaa bado upo kwenye game...
Ni vile tu hawapewi support ya kutosha ila wakenya wanajua asikwambie mtuDamnn Kenya walikua na beat kaliii sana Josh and Amos from Kenya hawa jamaa noma sanaa
walitokea kwenye Tusker project na kuna nyimbo wamefanya na saut sol
Kweli kabisa....siku hizi wanaringa na Lupita bhaasi!Ni vile tu hawapewi support ya kutosha ila wakenya wanajua asikwambie mtu
Yaaani[emoji134] [emoji134] [emoji134]Kweli kabisa....siku hizi wanaringa na Lupita bhaasi!
Haha...pole yao[emoji23]Yaaani[emoji134] [emoji134] [emoji134]
.....kama wewe ni manzi wa nairrrobi amka na anza kukatika....... Piga ndulu! piga ndulu! .....manzi katikakakakakakakakakatikakakakakakakaaaahhhh.......!Nimemiss kumsikia Nonini
Wamesababisha mpaka tunakosa ridim kutoka ogopa djzHahah...pole yao[emoji23]