Sio kweliiiii.....kama wewe ni manzi wa nairrrobi amka na anza kukatika....... Piga ndulu! piga ndulu! .....manzi katikakakakakakakakakatikakakakakakakaaaahhhh.......!
Pia nyimbo za kenya ziko shallow sana ndo maana hazivuki border, mistari dhaifu!
[emoji443] [emoji442] [emoji443] [emoji443] [emoji443] [emoji443] [emoji443]
Sio lazima to do
Tunaeza enda home na kuchili tu
[emoji445] [emoji445] [emoji445] [emoji445] [emoji445] [emoji445] [emoji445] [emoji445] [emoji445] [emoji445] [emoji445]
Sio lazima kwakweli.... Tunaeza enda home na kuchili[emoji4] [emoji4]
Dah!Duh nmekumbuka mbal sana...
Sio lazima kwakweli.... Tunaeza enda home na kuchili[emoji4] [emoji4]
Tuendelee ama tusiendelee[emoji445] [emoji442] [emoji443] [emoji443] [emoji443]
Kuna mc's wengine wametutusi
Wanasema rhyme zetu ni za upuuzi
Heri sisi kuliko wao wamejawa na virus
Kumangana kila mahala kama mambuzi
[emoji444] [emoji444] [emoji444] [emoji444] [emoji444] [emoji444] [emoji444] [emoji444] [emoji444] [emoji444] [emoji444]
Hawa jamaa ni shiiiiiiidaDah!
Nami nimekumbuka mbali sana, skonga enzi hizo.
Waliachiaga mpini mmoja, TUENDELEE AMA TUSIENDELEE....!
Wyre nadhani bado yupo na Nazizi wake, mi nilikuwa napenda ile binadamu sio watu alimshirikisha sijui jamaa gani hata simkumbukiHahahah...
Nlikua naielewa sana hii kumbe umeshaishare okay mkali mwingine alikua wyre sijui kapotelea wapi
Yeah...hivi kiman ni wa ug ama ke.?Kweli kabisa....siku hizi wanaringa na Lupita bhaasi!
Hao sijapata kusikia nyimbo zao, ila tu naamini zitakuwa kaliSijui kimewatokea nini hawa jamaa zetu ,industry yao imepooza kuna band moja hivi ni mpya H-ART na nyimbo zao kama uliza kiautu ,nikikutazama
Hawa jamaa wa Camp mulla sijui ni pepo gani liliwapitia
Pia nahis beat inameza sauti.... Inawezekana culture yao imechangia kuwa na mistar dhaifu?.....kama wewe ni manzi wa nairrrobi amka na anza kukatika....... Piga ndulu! piga ndulu! .....manzi katikakakakakakakakakatikakakakakakakaaaahhhh.......!
Pia nyimbo za kenya ziko shallow sana ndo maana hazivuki border, mistari dhaifu! Alafu kitu kingine, media na wakenya kwa ujumla wakipata artist mmoja, wote wanajikita kwake na kusahau wengine.
Niaje brooo [emoji23]Dah!
Nami nimekumbuka mbali sana, skonga enzi hizo.
Waliachiaga mpini mmoja, TUENDELEE AMA TUSIENDELEE....!
Hivi wale calfonaeee wako wap?Sijui kimewatokea nini hawa jamaa zetu ,industry yao imepooza kuna band moja hivi ni mpya H-ART na nyimbo zao kama uliza kiautu ,nikikutazama
Hawa jamaa wa Camp mulla sijui ni pepo gani liliwapitia
Mazee ushaona manzi amesimama kama range 4.6..........nikikaaa nyuma yake waweza dhani mi mkia....Nimemiss kumsikia Nonini
Mkuu kwani unahisi culture yao imeweza vipi kuathiri lyrics zao?Pia nahis beat inameza sauti.... Inawezekana culture yao imechangia kuwa na mistar dhaifu?
Aisee ingia hapo you tube halafu utanipa mrejeshoHao sijapata kusikia nyimbo zao, ila tu naamini zitakuwa kali
I real miss him, Kenya wanajua sana hizi mambo.....Mazee ushaona manzi amesimama kama range 4.6..........nikikaaa nyuma yake waweza dhani mi mkia....
Eti nonini leo yupo na gari ,Gar gani ?? Kwenda panda matatu ......
Ntafanya hivyo ASAPAisee ingia hapo you tube halafu utanipa mrejesho
Nahis the way wanaongea.... Ni hard kufitisha kwenye beat.. Ingawa me si mtaalam wa muzik lakin huwa naonaga wapo baadhi walikuwa hawaend na beat.... I don't know if am rightMkuu kwani unahisi culture yao imeweza vipi kuathiri lyrics zao?