Jimena
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 25,935
- 96,056
Itabidi wamfate Sonko kumlalamikia ili aingilie kati mpaka huyo waziri awajibikeNahis wazir wa michezo wa huko hana bud kutilia mkazo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Itabidi wamfate Sonko kumlalamikia ili aingilie kati mpaka huyo waziri awajibikeNahis wazir wa michezo wa huko hana bud kutilia mkazo
Mhh mbona simkumbuki?Chini ya maji...... Huyu jamaa nae ni shida
Hahahaha acha tu ,Hahahahaha du
Lyrics zinaweza mtoa nyoka pangoni
Sonko ndo yule mbunge maaarufu? Kuna yule kiongoz wa wafanya kaz anaitwa fransis atwoli... Huyu jamaaa safItabidi wamfate Sonko kumlalamikia ili aingilie kati mpaka huyo waziri awajibike
ColloMhh mbona simkumbuki?
Namna hii halafu mtu aseme mistari yao dhaifu ntaacha kumbishia kweli?Usimpe roho yako waza kwanza
Wapi tofauti yake nao
Sina noma nae ....
Baby una smile fresh sijui nikuite Mariah vile ume carry
Ring kwenye ....na smile ya hale bery ..........
Nyashski ...Kile roho yangu imeshachagua ishachagua
Na hiyo ni kitu nipo sure hata yeye mwenyewe anaju ...
Kwa Kenya hata sielewi kabisaHivi nature of politics ya Kenya imeweka mikakati dhid ya wasanii? Maaana huku tz naona hata leo wasanii wamekutana na president ..... General speaking inasaidia katika kuinua muzik
Sawa sawaCollo
Haha dah wanajua aisee hawa jamaaNamna hii halafu mtu aseme mistari yao dhaifu ntaacha kumbishia kweli?
Sana sanaaaa yani tunawakumbuka mnoHaha dah wanajua aisee hawa jamaa
Warudi tu tumewamiss
Asee chief unaitoa wap... Duh we ni shida [emoji53]Kuna hii juakali yupo na Sanaipei
Mtoto wa geti kali
mtoto mrembo, mtoto wa geti kali
toka uko juu ukuje utulie na Juacali
najua kwenu mko sawa mkona mali
lakini kuja nikuonyeshe yangu ya mtaani
wacha gari leo panda matatu
jua imewaka ntakuchukulia barafu ya ukwaju
lunch ya nguvu bakuli ya supu
dessert ya leo mahindi na njugu
saucer ya nguvu juo moja wazimu
baadaye utamaliza na uji ya ndimu
hakuna kebab hapa piga dondo
hakuna pizza hapa piga muhogo
usione haya kuteuka ni kawaida
wacha tutie raundi mtaani tukishikisha
hii ndo base si hutulia
pale ndo grao ball si hugusia
majioni movie pale ni mbao
lazima tuwe na za juu tukitokewa na karao
mtoto wa geti kali sikutishi
hivi ndio vile mtaani si huishi
inshu ya kulipa wasanii ilikuwepo kabla hata ya uhuru hapa tanganyika,baada ya maazimio yaliyo nyonga uchumi wa nchi 1967 baazi ya sheria za kikoloni hazikufuatwa tena na hii ni moja wapo,.Hili nalo ni tatizo kubwa....... Sa nini kifanyike?
Kichwani cheif kwa kifupi hawa machali wa Nai nawakubali sanaAsee chief unaitoa wap... Duh we ni shida [emoji53]
Kwa wanamuzik kama juakal sizan kama toleo la diamond lilikuwepo... Nahis akina jua kali and issa we mighty make reference na watu kama pro j au akina noooraDiamond overrated tena?!
Kenyan na zile za kwetu (Caribean beats) ukisikiliza unakuwa haireeeeeeKichwani cheif kwa kifupi hawa machali wa Nai nawakuli sana