Facts.Una hoja maana naona majengo yanadondoka ila vifo sisikii, inawezekana watu wanatafuta justification kuhalalisha vita,japo bora isitokee maana hata sisi huku madhara yatatukuta tu
Daah......njaa itakuja mkuuFacts.
Ila Wacha wapigane tu mkuu tupate mademu wa bure ( wakimbizi)
Na Sisi akina Likud "tuwaonjemo" Mademu wa Iran, Syria na nchi jirani
Sasa mbona unaongea kama mwathirika wa dini au mtu ambae hajui internet?Nitake radhi ndugu yangu. Mimi na dini wapi na wapi?
Wewe ni mtu unayependa sana mambo ya uchawi, mizizi ya kienyeji na conspiracies theories za ajabu ajabu.Nitake radhi ndugu yangu. Mimi na dini wapi na wapi?
Naungana na wewe, inaweza kuwa ni mbinu yao ya kutafuta justificationI have this intuition kwamba Mossad ndio wana ripua mabomu Israel huku lengo likiwa ni kupata justification ya kuingia kwenye full scale war with Iran.
My intuition is rooted from my personal understanding of Mossad's ' mode operandi".
Ukisoma vitabu vilivyo andikwa na Experts wa Mossad utakubaliana na Mimi kwamba hii ni moja Kati ya mbinu zinazotumiwa na Mossad.
My intuition is telling me that, somewhere on the face of planet earth, kuna base ambayo Mossad wamejenga mji wenye kufanana na Tehran pamoja na miji mingine muhimu ya Iran.
Kwenye "miji" hiyo, vikosi vya Israel hufanya " Rehearsal " ya kivita kuipiga Iran. And probably wamesha fanya hivyo kwa miaka mingi. ( Know thy enemies as you know thyself- Sun Tzu, Art of War)
Hawa wazayuni sio watu poa kabisa. Pia wapo vizuri sana Kwenye infiltration. Most of the time utagundua kwamba Kwenye Vita zote wanazo pigana, wao huongoza pande zote mbili, kwa maana ya kwamba wana kuwa na watu wao Kwenye upande wanao pigana nao. Hao watu wana kuwa na nguvu ya kimaamuzi Kwenye strategic areas.
Kwenye moja kati ya vitabu vya mwandishi nguli wa Mossad, kitabu kinacho elezea missions kadhaa ambazo Mossad wamezifanya, kitabu kilinielekeza kusoma document moja ya Mossad ambayo by that time ilikuwa available to the public.
Ni andiko lenye kurasa elfu moja about " AN INVASION PLAN".
I was astonished by the document, cause kwa vitu vilivyo andikwa humo ndani it was obvious kwamba plan Yao lazima ingefanikiwa tu "no matter wah".
And from that time, nimekuwa Niki fanya programs and projects zangu nyingi kwa kutumia mbinu za kijasusi za ki Mossad na zote zimekuwa zikifanikiwa ( Tafuta kitabu kinaitwa " No Mission Is Impossible : THE DEATH DEFYING MISSIONS OF ISRAEL SPECIAL FORCES" by MICHAEL BAR ZOHAR and NISSIM MASHALL, walau upate kujua ni nacho kizungumzia hapa.
Watu mbona vita hivi wanastream kama movie. Hiyo what if ondoa.I have this intuition kwamba Mossad ndio wana ripua mabomu Israel na kuisingizia Iran, huku lengo likiwa ni kupata justification ya kuingia kwenye full scale war with Iran.
My intuition is rooted from my personal understanding of Mossad's ' mode operandi".
Ukisoma vitabu vilivyo andikwa na Experts wa Mossad utakubaliana na Mimi kwamba hii ni moja Kati ya mbinu zinazotumiwa na Mossad.
My intuition is telling me that, somewhere on the face of planet earth, kuna base ambayo Mossad wamejenga mji wenye kufanana na Tehran pamoja na miji mingine muhimu ya Iran.
Kwenye "miji" hiyo, vikosi vya Israel hufanya " Rehearsal " ya kivita kuipiga Iran. And probably wamesha fanya hivyo kwa miaka mingi. ( Know thy enemies as you know thyself- Sun Tzu, Art of War)
Hawa wazayuni sio watu poa kabisa. Pia wapo vizuri sana Kwenye infiltration. Most of the time utagundua kwamba Kwenye Vita zote wanazo pigana, wao huongoza pande zote mbili, kwa maana ya kwamba wana kuwa na watu wao Kwenye upande wanao pigana nao. Hao watu wana kuwa na nguvu ya kimaamuzi Kwenye strategic areas.
Kwenye moja kati ya vitabu vya mwandishi nguli wa Mossad, kitabu kinacho elezea missions kadhaa ambazo Mossad wamezifanya, kitabu kilinielekeza kusoma document moja ya Mossad ambayo by that time ilikuwa available to the public.
Ni andiko lenye kurasa elfu moja about " AN INVASION PLAN".
I was astonished by the document, cause kwa vitu vilivyo andikwa humo ndani it was obvious kwamba plan Yao lazima ingefanikiwa tu "no matter wah".
And from that time, nimekuwa Niki fanya programs and projects zangu nyingi kwa kutumia mbinu za kijasusi za ki Mossad na zote zimekuwa zikifanikiwa ( Tafuta kitabu kinaitwa " No Mission Is Impossible : THE DEATH DEFYING MISSIONS OF ISRAEL SPECIAL FORCES" by MICHAEL BAR ZOHAR and NISSIM MASHALL, walau upate kujua ni nacho kizungumzia hapa.
Pande mbili zinazo kinzana, what about you?What do you know about war?