What if kama Mossad ndio wanalipua Israel na kuisingizia Iran?

What if kama Mossad ndio wanalipua Israel na kuisingizia Iran?

Mnavyojichanganya ndio vichekesho Wenzio Iran wanasema Walilenga jengo la Pembeni ambalo ni comand centre ya Mosad wewe unaleta michoro eti chini ya Hospital kuna Vifaru hahaha yaani silaha muhimu ziachwe kufichwa ndio wafiche Tanks? Arabs na muslim akili zenu mnazijua wewenywe madraasan so ndio copy and paste ya Al Shifa Hospital eti
We kenge wapi nimesema vifaru viko chini ya hospital? Hivi unaelewa wewe lugha ngapi? Mimi mpaa kiyahudi na kijua wewe unajua kiarabu? Channel hio inasema Iran imepiga Military base iko karibu na hio hospital hivi wewe lugha ya kizungu hujui utajua kiarabu hahaha
 
I have this intuition kwamba Mossad ndio wana ripua mabomu Israel na kuisingizia Iran, huku lengo likiwa ni kupata justification ya kuingia kwenye full scale war with Iran.

My intuition is rooted from my personal understanding of Mossad's ' mode operandi".

Ukisoma vitabu vilivyo andikwa na Experts wa Mossad utakubaliana na Mimi kwamba hii ni moja Kati ya mbinu zinazotumiwa na Mossad.

My intuition is telling me that, somewhere on the face of planet earth, kuna base ambayo Mossad wamejenga mji wenye kufanana na Tehran pamoja na miji mingine muhimu ya Iran.

Kwenye "miji" hiyo, vikosi vya Israel hufanya " Rehearsal " ya kivita kuipiga Iran. And probably wamesha fanya hivyo kwa miaka mingi. ( Know thy enemies as you know thyself- Sun Tzu, Art of War)

Hawa wazayuni sio watu poa kabisa. Pia wapo vizuri sana Kwenye infiltration. Most of the time utagundua kwamba Kwenye Vita zote wanazo pigana, wao huongoza pande zote mbili, kwa maana ya kwamba wana kuwa na watu wao Kwenye upande wanao pigana nao. Hao watu wana kuwa na nguvu ya kimaamuzi Kwenye strategic areas.

Kwenye moja kati ya vitabu vya mwandishi nguli wa Mossad, kitabu kinacho elezea missions kadhaa ambazo Mossad wamezifanya, kitabu kilinielekeza kusoma document moja ya Mossad ambayo by that time ilikuwa available to the public.

Ni andiko lenye kurasa elfu moja about " AN INVASION PLAN".

I was astonished by the document, cause kwa vitu vilivyo andikwa humo ndani it was obvious kwamba plan Yao lazima ingefanikiwa tu "no matter wah".

And from that time, nimekuwa Niki fanya programs and projects zangu nyingi kwa kutumia mbinu za kijasusi za ki Mossad na zote zimekuwa zikifanikiwa ( Tafuta kitabu kinaitwa " No Mission Is Impossible : THE DEATH DEFYING MISSIONS OF ISRAEL SPECIAL FORCES" by MICHAEL BAR ZOHAR and NISSIM MASHALL, walau upate kujua ni nacho kizungumzia hapa.
Kuna uzi nilikusihi ubaki na story za ushirikina,ndo walau ujuacho
 
I have this intuition kwamba Mossad ndio wana ripua mabomu Israel na kuisingizia Iran, huku lengo likiwa ni kupata justification ya kuingia kwenye full scale war with Iran.
Iran wenyewe huwa wanakiri kulipua
 
Halafu Irani nao wakawa hawajui Kama wamelipua kule Israel hivyo hawakuweza kusema kuwa hawahusiki. 🤔
 
Halafu Irani nao wakawa hawajui Kama wamelipua kule Israel hivyo hawakuweza kusema kuwa hawahusiki. 🤔


1.Kama nilivyo sema kwenye Uzi wangu wa msingi, Mossad wapo so much good in infiltration. So theory yangu ina suggest kwamba, watu wa Mossad ambao wapo infiltrated kwenye strategic areas ndani ya jeshi la Iran wanaweza kuwa ndio wametekeleza huo mpango.


2. Iran wanaweza kuwa wanajua ila wana pretend kama hawajui ili kuwa fool Mossad

All in all its just my " Intuition " I might be right or equally wrong.
 
Sheria za kimataifa zinawabana
Kwani walianza kuwapiga iran kwa sababu gani?
Kama waliweza kuwapiga bila sababu je wanashindwa vipi kuendelea kuwadunda.
Kama walikuwa na sababu je sababu hiyo haitoshi kuwafanya waendelee kuwadunda?
Mara ngapi kavunja sheria za kimataifa na anakaliwa kimya?

Nikijiuliza maswali haya, ndio nasema hana haja ya kutafuta sababu.
 
Kwani walianza kuwapiga iran kwa sababu gani?

Madai ya Israel ni 👇👇👇

1. Iran ana wafadhili Hezbollah na Hamas ili kui-distablelize Israel.

2. Iran wanaunda vinu vya kutengeneza silaha za Nyuklia kinyume na sheria za kimataifa.
Kama waliweza kuwapiga bila sababu je wanashindwa vipi kuendelea kuwadunda.
Kama walikuwa na sababu je sababu hiyo haitoshi kuwafanya waendelee kuwadunda?

Israel hawakuwapiga Iran bila sababu, Israel walishambulia kinu cha kutengeneza silaha za Nyuklia na wakawaua baadhi ya wanasayansi muhimu wa Nyuklia wa Iran
Mara ngapi kavunja sheria za kimataifa na anakaliwa kimya?

Nikijiuliza maswali haya, ndio nasema hana haja ya kutafuta sababu.
 
Weka utaratibu wa kufuatilia vitu mfano mashambulizi wanayoyafanya Iran mara zote wanakuwa wametoa tangazo siku 1 au masaa kabla.
 
Back
Top Bottom