Msela Wa Kitaa
JF-Expert Member
- Oct 8, 2021
- 2,217
- 4,280
Mkuu na wewe umekuwa shallow kiasi hiki siku hizi?
Unajua kabisa mimi Sina upande wowote Kati ya Hao wanao pigana kwa sababu mimi sipo Kwenye dini yoyote.
Nimekushusha vyeo mkuu, ulikuwa Captain now umekuwa mgambo
I don't know. Ndio maana nimesema " My intuition " Wewe umekuja na jibu ambalo ni final and conclusive
Huna pdf za hivyo vitabu mkuu.I have this intuition kwamba Mossad ndio wana ripua mabomu Israel na kuisingizia Iran, huku lengo likiwa ni kupata justification ya kuingia kwenye full scale war with Iran.
My intuition is rooted from my personal understanding of Mossad's ' mode operandi".
Ukisoma vitabu vilivyo andikwa na Experts wa Mossad utakubaliana na Mimi kwamba hii ni moja Kati ya mbinu zinazotumiwa na Mossad.
My intuition is telling me that, somewhere on the face of planet earth, kuna base ambayo Mossad wamejenga mji wenye kufanana na Tehran pamoja na miji mingine muhimu ya Iran.
Kwenye "miji" hiyo, vikosi vya Israel hufanya " Rehearsal " ya kivita kuipiga Iran. And probably wamesha fanya hivyo kwa miaka mingi. ( Know thy enemies as you know thyself- Sun Tzu, Art of War)
Hawa wazayuni sio watu poa kabisa. Pia wapo vizuri sana Kwenye infiltration. Most of the time utagundua kwamba Kwenye Vita zote wanazo pigana, wao huongoza pande zote mbili, kwa maana ya kwamba wana kuwa na watu wao Kwenye upande wanao pigana nao. Hao watu wana kuwa na nguvu ya kimaamuzi Kwenye strategic areas.
Kwenye moja kati ya vitabu vya mwandishi nguli wa Mossad, kitabu kinacho elezea missions kadhaa ambazo Mossad wamezifanya, kitabu kilinielekeza kusoma document moja ya Mossad ambayo by that time ilikuwa available to the public.
Ni andiko lenye kurasa elfu moja about " AN INVASION PLAN".
I was astonished by the document, cause kwa vitu vilivyo andikwa humo ndani it was obvious kwamba plan Yao lazima ingefanikiwa tu "no matter wah".
And from that time, nimekuwa Niki fanya programs and projects zangu nyingi kwa kutumia mbinu za kijasusi za ki Mossad na zote zimekuwa zikifanikiwa ( Tafuta kitabu kinaitwa " No Mission Is Impossible : THE DEATH DEFYING MISSIONS OF ISRAEL SPECIAL FORCES" by MICHAEL BAR ZOHAR and NISSIM MASHALL, walau upate kujua ni nacho kizungumzia hapa.
Na ayatollah keshaambiwa hawezi kuruhusiwa kuendelea kuishi!Vitu vipo live lakini kwakua una uraibu wa dini unajiongelesha tu ilimradi tujue umeathiriwa na madawa hayo ya kulevya
Mimi ni muislamu kiasili mkuu.. Labda kama wewe mgeni JF. Wakongwe wote wanajua jina langu naitwa " Abdallah".Nyie hivi bado mnamini Israel anaweza kupigana vita na Iran hahaha eti Mossad akili za ukanisa aisay kama zina funza vile.
Justification gani tena walipo anza vita walikuwa na Justification ikiwa international assessments, including by the US intelligence community, say that Iranβs nuclear program isnβt currently weaponized. Tehran has also repeatedly insisted it isnβt building a bomb. Israel ni chui kwenye karatasi lazima mkubali.
Kwa tarifa yako Israel mwenye kisha anza ona maujiza huko, anasema Missiles walizo tumia jana Israel hawajawahi kukutana na designed hio kabla ya kupiga target zinatoa maboom kabla ya kufika kwenye target.
View: https://youtu.be/DQejW6W7Lwc?si=jFNz9lXEtTuJ8pkX
Iran inaonyesha target ilikuwa sio Hospital walipiga kiwanda cha silaha kiliopo karibu na hio hospital kwa nguvu ya boom vipande vikaruka kwenye hospital
View: https://youtu.be/fzsvU6a7H-E?si=Olk75rh2RsJCCF-5
That's why I asked u earlier what do u know about war?Sasa kitu unakiona live kinatoka Iran,kinaingia Lebanon then kina dondoka kwa Wayahudi? Hapa napo unawahusisha Mosad wakati ,vita hii ni sawa na kusema watu wanastream Aljazeera wanamecover vitu vingi sana,vingine unaviona live. Conclusion imekuja baada action zote zipo live unaziona na ndio maana kila phase Iran anatangaza.
Mnavyojichanganya ndio vichekesho Wenzio Iran wanasema Walilenga jengo la Pembeni ambalo ni comand centre ya Mosad wewe unaleta michoro eti chini ya Hospital kuna Vifaru hahaha yaani silaha muhimu ziachwe kufichwa ndio wafiche Tanks? Arabs na muslim akili zenu mnazijua wewenywe madraasan so ndio copy and paste ya Al Shifa Hospital etiNyie hivi bado mnamini Israel anaweza kupigana vita na Iran hahaha eti Mossad akili za ukanisa aisay kama zina funza vile.
Justification gani tena walipo anza vita walikuwa na Justification ikiwa international assessments, including by the US intelligence community say that Iranβs nuclear program isnβt currently weaponized. Tehran has also repeatedly insisted it isnβt building a bomb. Israel ni chui kwenye karatasi lazima mkubali.
Kwa tarifa yako Israel mwenye kisha anza ona maujiza huko, anasema Missiles walizo tumia jana Israel hawajawahi kukutana na designed hio kabla ya kupiga target zinatoa maboom kabla ya kufika kwenye target.
View: https://youtu.be/DQejW6W7Lwc?si=jFNz9lXEtTuJ8pkX
Iran inaonyesha target ilikuwa sio Hospital walipiga kiwanda cha silaha kiliopo karibu na hio hospital kwa nguvu ya boom vipande vikaruka kwenye hospital
View: https://youtu.be/fzsvU6a7H-E?si=Olk75rh2RsJCCF-5
Nyie hivi bado mnamini Israel anaweza kupigana vita na Iran hahaha eti Mossad akili za ukanisa aisay kama zina funza vile.
Justification gani tena walipo anza vita walikuwa na Justification ikiwa international assessments, including by the US intelligence community, say that Iranβs nuclear program isnβt currently weaponized. Tehran has also repeatedly insisted it isnβt building a bomb. Israel ni chui kwenye karatasi lazima mkubali.
Kwa tarifa yako Israel mwenye kisha anza ona maujiza huko, anasema Missiles walizo tumia jana Israel hawajawahi kukutana na designed hio kabla ya kupiga target zinatoa maboom kabla ya kufika kwenye target.
View: https://youtu.be/DQejW6W7Lwc?si=jFNz9lXEtTuJ8pkX
Iran inaonyesha target ilikuwa sio Hospital walipiga kiwanda cha silaha kiliopo karibu na hio hospital kwa nguvu ya boom vipande vikaruka kwenye hospital
View: https://youtu.be/fzsvU6a7H-E?si=Olk75rh2RsJCCF-
Yes, anaota anataga yai akiamka anakuta ameachia kimba.
Kumbe kutaga ndo kujinyea.
Ila we jamaaYes, anaota anataga yai akiamka anakuta ameachia kimba.
Kumbe kutaga ndo kujinyea.
π€£π€£π€£Yes, anaota anataga yai akiamka anakuta ameachia kimba.
Kumbe kutaga ndo kujinyea.
Sijakataa ila mabomu yapo live na starting point yake inaoneka, direction,yanapopita mpaka yanapofika kwa kifupi full trajectory ya mabomu watu wanastream.That's why I asked u earlier what do u know about war?
There is a lot of propaganda in war.
Anyways
ππππππ
That's how propaganda work. Propaganda is a very powerful tool kuliko unavyo weza kudhaniSijakataa ila mabomu yapo live na starting point yake inaoneka, direction,yanapopita mpaka yanapofika kwa kifupi full trajectory ya mabomu watu wanastream.
Achana na huyo fake Muslim atakuumizaa kichwa wewe kama Muislam tulia huyo ni fanatic Muslim anampinga hadi Allah na Mtume mtu anasema Hadith za Sahih Muslim ni za Kiyahudi yaani hata haelewi nini maana ya Sahih wala HassanMimi ni muislamu kiasili mkuu.. Labda kama wewe mgeni JF. Wakongwe wote wanajua jina langu naitwa " Abdallah".
Sijaongea kimtazamo wa dini.
Mambo ya dini is childish and I am a grown up person.
Huna haja ya kuhangaika kujibishana na watoto wa afu 2 mzee baba, vimekaririsha na vina uvivu kutafuta maarifa nje ya darasaniThat's why I asked u earlier what do u know about war?
There is a lot of propaganda in war.
Anyways
ππππππ
Mademu wataishia mbagala sizani kama watafika chanikaFacts.
Ila Wacha wapigane tu mkuu tupate mademu wa bure ( wakimbizi)
Na Sisi akina Likud "tuwaonjemo" Mademu wa Iran, Syria na nchi jirani