What if kama Mossad ndio wanalipua Israel na kuisingizia Iran?

NAPINGA
Israel haihitaji justification yoyote, kushambulia.
 
We kenge wapi nimesema vifaru viko chini ya hospital? Hivi unaelewa wewe lugha ngapi? Mimi mpaa kiyahudi na kijua wewe unajua kiarabu? Channel hio inasema Iran imepiga Military base iko karibu na hio hospital hivi wewe lugha ya kizungu hujui utajua kiarabu hahaha
 
Kuna uzi nilikusihi ubaki na story za ushirikina,ndo walau ujuacho
 
I have this intuition kwamba Mossad ndio wana ripua mabomu Israel na kuisingizia Iran, huku lengo likiwa ni kupata justification ya kuingia kwenye full scale war with Iran.
Iran wenyewe huwa wanakiri kulipua
 
Halafu Irani nao wakawa hawajui Kama wamelipua kule Israel hivyo hawakuweza kusema kuwa hawahusiki. πŸ€”
 
Halafu Irani nao wakawa hawajui Kama wamelipua kule Israel hivyo hawakuweza kusema kuwa hawahusiki. πŸ€”


1.Kama nilivyo sema kwenye Uzi wangu wa msingi, Mossad wapo so much good in infiltration. So theory yangu ina suggest kwamba, watu wa Mossad ambao wapo infiltrated kwenye strategic areas ndani ya jeshi la Iran wanaweza kuwa ndio wametekeleza huo mpango.


2. Iran wanaweza kuwa wanajua ila wana pretend kama hawajui ili kuwa fool Mossad

All in all its just my " Intuition " I might be right or equally wrong.
 
Sheria za kimataifa zinawabana
Kwani walianza kuwapiga iran kwa sababu gani?
Kama waliweza kuwapiga bila sababu je wanashindwa vipi kuendelea kuwadunda.
Kama walikuwa na sababu je sababu hiyo haitoshi kuwafanya waendelee kuwadunda?
Mara ngapi kavunja sheria za kimataifa na anakaliwa kimya?

Nikijiuliza maswali haya, ndio nasema hana haja ya kutafuta sababu.
 
Kwani walianza kuwapiga iran kwa sababu gani?

Madai ya Israel ni πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡

1. Iran ana wafadhili Hezbollah na Hamas ili kui-distablelize Israel.

2. Iran wanaunda vinu vya kutengeneza silaha za Nyuklia kinyume na sheria za kimataifa.
Kama waliweza kuwapiga bila sababu je wanashindwa vipi kuendelea kuwadunda.
Kama walikuwa na sababu je sababu hiyo haitoshi kuwafanya waendelee kuwadunda?

Israel hawakuwapiga Iran bila sababu, Israel walishambulia kinu cha kutengeneza silaha za Nyuklia na wakawaua baadhi ya wanasayansi muhimu wa Nyuklia wa Iran
Mara ngapi kavunja sheria za kimataifa na anakaliwa kimya?

Nikijiuliza maswali haya, ndio nasema hana haja ya kutafuta sababu.
 
Weka utaratibu wa kufuatilia vitu mfano mashambulizi wanayoyafanya Iran mara zote wanakuwa wametoa tangazo siku 1 au masaa kabla.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…