What if kama Mossad ndio wanalipua Israel na kuisingizia Iran?

Una hoja maana naona majengo yanadondoka ila vifo sisikii, inawezekana watu wanatafuta justification kuhalalisha vita,japo bora isitokee maana hata sisi huku madhara yatatukuta tu
Israel ni Taifa dogo watu wachache sana,na watu wake ikifika usiku wakihisi kuna mashambulizi au Iran akitoa tangazo kuwa atakinukisha hujihifadhi kwenye mahandaki ndio maana unaona vifo ni vichache compared to Iran ambapo hakuna mahandaki.
Vilevile,Israel na mshirika wake USA wana ficha taarifa nyingi.
 
Weka utaratibu wa kufuatilia vitu mfano mashambulizi wanayoyafanya Iran mara zote wanakuwa wametoa tangazo siku 1 au masaa kabla.
What if Israel Wana ya block ya Iran wanapiga yao? .
 
Weka utaratibu wa kufuatilia vitu mfano mashambulizi wanayoyafanya Iran mara zote wanakuwa wametoa tangazo siku 1 au masaa kabla.
Watu million tisa na ushee kwenye ardhi kama ya Israel huwezi kusema ni wengi
 
K
Basi hata kombora zinazofyatuliwa tokea Iran ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ท wanafyatua Mossad eeeenh
Mahaba yakizid saaana yanapunguzau uwezo wa kufikiri
 
Sababu hizo zinatosha kuwatwanga
 
Hicho kitu ni kigumu kuwa kweli sababu yale makombora yanaonekana yanatoka iran. Vifo vichache sababu israel wana civilian bunkers.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ