What if nafasi 4 za ubunge zilizosalia wanapewa CHADEMA?

Raia Fulani

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2009
Posts
11,866
Reaction score
4,264
Huu ni mtizamo wangu. Rais ametenga zile nafasi 4 za ubunge kwa wapinzani, na wanapewa CHADEMA kama sehemu ya maridhiano.

Kisha katika hao ndipo mmoja anateuliwa kushika nafasi ya uwaziri mkuu kama ilivyokwishatabiriwa awali.

CHADEMA wataingia huu mtego?
 
Huu ni mtizamo wangu. Rais ametenga zile nafasi 4 za ubunge kwa wapinzani, na wanapewa CHADEMA kama sehemu ya maridhiano. Kisha katika hao ndipo mmoja anateuliwa kushika nafasi ya uwaziri mkuu kama ilivyokwishatabiriwa awali.

CHADEMA wataingia huu mtego?
Msomage na katiba basi kabla hamjafyatua kitu! Unazijua sifa za kuteuliwa kuwa Waziri Mkuu?
 
Huu ni mtizamo wangu. Rais ametenga zile nafasi 4 za ubunge kwa wapinzani, na wanapewa CHADEMA kama sehemu ya maridhiano.

Kisha katika hao ndipo mmoja anateuliwa kushika nafasi ya uwaziri mkuu kama ilivyokwishatabiriwa awali.

CHADEMA wataingia huu mtego?
Waziri mkuu lazima awe mbunge aliyechaguliwa(mbunge wa jimbo)

Unachowaza hakipo. Hakuna maridhiano ya hivyo
 
Huu ni mtizamo wangu. Rais ametenga zile nafasi 4 za ubunge kwa wapinzani, na wanapewa CHADEMA kama sehemu ya maridhiano.

Kisha katika hao ndipo mmoja anateuliwa kushika nafasi ya uwaziri mkuu kama ilivyokwishatabiriwa awali.

CHADEMA wataingia huu mtego?
Katiba unaijua hata kubabaisha tu ? PM hawezi kuwa mbunge wa kuteuliwa lazima uwe jimbo anzia hapo kwanza.......PM kutekeleza ilani ccm....hapo je ???
 
Katiba imevunjwa mara ngapi? Hivi uongozi uliopo unafuata katiba? Kama haufuati, ni kipi kinashindikana kwa gia ya maridhiano?
 
Mkuu watu wanapokusanua lengo ni kukurudishia akili upate kufahamu
Hata kama katiba huvunjwa, Kuna vitu haviwezekani. Mojawapo ni hiko cha kumteua mpinzani kuwa waziri mkuu.

Pili, nani kakuambia yupo serious na hayo maridhiano hadi wafikie kuteua mpinzani kuwa waziri mkuu?

Mwisho, kesho jina la waziri mkuu litatajwa utalijua. Uache kuota
 
Huu ni mtizamo wangu. Rais ametenga zile nafasi 4 za ubunge kwa wapinzani, na wanapewa CHADEMA kama sehemu ya maridhiano.

Kisha katika hao ndipo mmoja anateuliwa kushika nafasi ya uwaziri mkuu kama ilivyokwishatabiriwa awali.

CHADEMA wataingia huu mtego?
Rejea katiba, sifa za mtu atayeteuliwa kuwa waziri mkuu, lazima awe mbunge wa kuchaguliwa, wa chama chenye wabunge wengi zaidi ya vyama vingine.
 
Mkuu una hoja. Japo ni kweli waziri mkuu lazima awe mbunge kutoka chama chenye majority, lakini hoja yako bado ni nzito kwani bunge linaweza kubadili hicho kifungu.

Ikitokea hivyo tutegemee waziri mkuu kutoka upinzani. It makes a lot of sense.
 
Sawa, vyovyote iwavyo, unataka kusema hizo nafasi nne nani atalambishwa uwaziri mkuu, kuna lissu, heche, lema, mnyika, golugwa, au watalambishwa wizara nyeti mbalimbali, vipi na wale walioshiriki uchaguzi wao hawapo kwenye maridhiano?
 
Huu ni mtizamo wangu. Rais ametenga zile nafasi 4 za ubunge kwa wapinzani, na wanapewa CHADEMA kama sehemu ya maridhiano.

Kisha katika hao ndipo mmoja anateuliwa kushika nafasi ya uwaziri mkuu kama ilivyokwishatabiriwa awali.

CHADEMA wataingia huu mtego?
Hii haitasaidia solution ni waliouwa wawajibishwe. La sivyo Rais atakaekuja atauwa wengi zaidi.
 
Huu ni mtizamo wangu. Rais ametenga zile nafasi 4 za ubunge kwa wapinzani, na wanapewa CHADEMA kama sehemu ya maridhiano.

Kisha katika hao ndipo mmoja anateuliwa kushika nafasi ya uwaziri mkuu kama ilivyokwishatabiriwa awali.

CHADEMA wataingia huu mtego?
Na ww kaa kmya ! Nan alkuambia uwazir mkuu unapewa mezan Kwa ubunge wa kuteuliwa? Waziri mkuu lazma achaguliwe jimbon
 
Sawa, vyovyote iwavyo, unataka kusema hizo nafasi nne nani atalambishwa uwaziri mkuu, kuna lissu, heche, lema, mnyika, golugwa, au watalambishwa wizara nyeti mbalimbali, vipi na wale walioshiriki uchaguzi wao hawapo kwenye maridhiano?
Ni dhana ambayo ccm wanadhani wanaweza kuitimiza kwa kuwa wameshatimiza mengi kinyume na matakwa ya kikatiba
 
Mkuu watu wanapokusanua lengo ni kukurudishia akili upate kufahamu
Hata kama katiba huvunjwa, Kuna vitu haviwezekani. Mojawapo ni hiko cha kumteua mpinzani kuwa waziri mkuu.

Pili, nani kakuambia yupo serious na hayo maridhiano hadi wafikie kuteua mpinzani kuwa waziri mkuu?

Mwisho, kesho jina la waziri mkuu litatajwa utalijua. Uache kuota
pascal atakuwa na kifungu cha katiba kinachiweza kumpa mkuu wa nchi mamlaka ya kufanya teuzi kama hizi kwa mazingira kama haya
 
Nikisema Nyumbu hamna akili mnakasirika
 
Huu ni mtizamo wangu. Rais ametenga zile nafasi 4 za ubunge kwa wapinzani, na wanapewa CHADEMA kama sehemu ya maridhiano.

Kisha katika hao ndipo mmoja anateuliwa kushika nafasi ya uwaziri mkuu kama ilivyokwishatabiriwa awali.

CHADEMA wataingia huu mtego?

Kama wakikubali basi laana itawaandama na pia kulikuwa hakuna basi kususia uchaguzi wangeingia moja kwa moja tu.

AFILE MUNU ,ASIGALE MUNU SHOW SHOW #D9
 
Huu ni mtizamo wangu. Rais ametenga zile nafasi 4 za ubunge kwa wapinzani, na wanapewa CHADEMA kama sehemu ya maridhiano.

Kisha katika hao ndipo mmoja anateuliwa kushika nafasi ya uwaziri mkuu kama ilivyokwishatabiriwa awali.

CHADEMA wataingia huu mtego?
Chadema hii haiwezi kufanya kazi na muuaji aliyeua Watanganyika zaidi ya 10,000 kamwe ingekuwa ile ya yule Mmachame mwenye makengeza kama samaki labda. Waziri Mkuu lazima awe mbunge toka jimboni. Kwaheri.
 
Back
Top Bottom