What if nafasi 4 za ubunge zilizosalia wanapewa CHADEMA?

Huu ni mtizamo wangu. Rais ametenga zile nafasi 4 za ubunge kwa wapinzani, na wanapewa CHADEMA kama sehemu ya maridhiano.

Kisha katika hao ndipo mmoja anateuliwa kushika nafasi ya uwaziri mkuu kama ilivyokwishatabiriwa awali.

CHADEMA wataingia huu mtego?
Wewe una akili za kike ....unadhani maridhiano ni rahisi kwenye damu...njia pekee ni samia kuachia kiti hata kwa kukimbia nchi japo lazima atakamatwa tu .
 
Huu ni mtizamo wangu. Rais ametenga zile nafasi 4 za ubunge kwa wapinzani, na wanapewa CHADEMA kama sehemu ya maridhiano.

Kisha katika hao ndipo mmoja anateuliwa kushika nafasi ya uwaziri mkuu kama ilivyokwishatabiriwa awali.

CHADEMA wataingia huu mtego?
Nafasi zilizobaki ni tatu,,sita kateua wabunge, moja mwanasheria mkuu wa serikali.
 
Huu ni mtizamo wangu. Rais ametenga zile nafasi 4 za ubunge kwa wapinzani, na wanapewa CHADEMA kama sehemu ya maridhiano.

Kisha katika hao ndipo mmoja anateuliwa kushika nafasi ya uwaziri mkuu kama ilivyokwishatabiriwa awali.

CHADEMA wataingia huu mtego?
Waziri mkuu lazima atoke kwa wabunge wa kuchaguliwa..hawezi kutoka kwa wale kumi.
 
Rejea katiba, sifa za mtu atayeteuliwa kuwa waziri mkuu, lazima awe mbunge wa kuchaguliwa, wa chama chenye wabunge wengi zaidi ya vyama vingine.
Mara ngapi katiba inavunjwa?
 
Huu ni mtizamo wangu. Rais ametenga zile nafasi 4 za ubunge kwa wapinzani, na wanapewa CHADEMA kama sehemu ya maridhiano.

Kisha katika hao ndipo mmoja anateuliwa kushika nafasi ya uwaziri mkuu kama ilivyokwishatabiriwa awali.

CHADEMA wataingia huu mtego?
Afadhali ungekuwa mwehu kuliko kukosa akili!
 
Huu ni mtizamo wangu. Rais ametenga zile nafasi 4 za ubunge kwa wapinzani, na wanapewa CHADEMA kama sehemu ya maridhiano.

Kisha katika hao ndipo mmoja anateuliwa kushika nafasi ya uwaziri mkuu kama ilivyokwishatabiriwa awali.

CHADEMA wataingia huu mtego?
Japokuwa kikatiba haiwezekan waziri mkuu atoke kwa wabunge wa kuteuliwa, hu mtego umelenga kuua credibility ya chadema kutoka kwenye jamii.

They know chadema kiko highly rated kipindi hiki, na wakirudia uchaguzi watagaragazwa
So kuwapa vyeo ni kuu credibility ya chadema mbel ya wananchi
Ili iwe rahis kwao kijipenyeza upya

Ni tactical setup, if chadema wanaakili wanaweza kukataa hili
 
Kikatiba hapana kabisa wao kupata u pm!

Lakini kwakua imekua desturi Sasa mwenyekiti kuvunja katiba kwa maslahi binafsi ya kisiasa kama kuengua wagombea na kuwaweka watu magerezani kinyume Cha Sheria!Anaweza kufanya lolote kama naibu waziri mkuu alivyo patikana kinyume na katiba na taratibu!!

Tujiandae Kwa lolote kabisa!!
 
ENYI MAJUHA WAZIRI MKUU LAZIMA AWE MBUNGE WA KUCHAGULIWA
Unakimbilia sehemu.nyepesi tu kujibu. Soma kichwa cha habari pia na ukitolee maelezo. Pia hilo ni swali liliulizwa. Kadhalika.hakuna kinachoshindikana. Kama alishinda kwa 98% inashindikana.nini kufanya kilichiandikwa hapo. Ina maana ushindinwake ni halali kikatiba?
 
Kikatiba hapana kabisa wao kupata u pm!

Lakini kwakua imekua desturi Sasa mwenyekiti kuvunja katiba kwa maslahi binafsi ya kisiasa kama kuengua wagombea na kuwaweka watu magerezani kinyume Cha Sheria!Anaweza kufanya lolote kama naibu waziri mkuu alivyo patikana kinyume na katiba na taratibu!!

Tujiandae Kwa lolote kabisa!!
Asante kwa majibu yako ya kitaaluma. Watu bado wanadhani kuwa kila kitu ni katiba . Imeshabanangwa na kubagazwa kama alivyobagaza msahafu wao. Hawashindwi kuja na hicho kioja, japo najua CHADEMA hawataafiki
 
Does it matter rangi ya Paka kama hashiki Panya - Si atakuwa mzigo tu.
 
Sikia

Chadema watapewa U PM kwakua itakua ime vunja katiba kuna kada kaandaliwa atakwenda kupinga mahakamani , Na mahakama ita tengua u PM THEN WHAT NEXT ? CHADEMA KWISHAAAA
 
Huu ni mtizamo wangu. Rais ametenga zile nafasi 4 za ubunge kwa wapinzani, na wanapewa CHADEMA kama sehemu ya maridhiano.

Kisha katika hao ndipo mmoja anateuliwa kushika nafasi ya uwaziri mkuu kama ilivyokwishatabiriwa awali.

CHADEMA wataingia huu mtego?
1762754759807.jpg
 
Asante kwa majibu yako ya kitaaluma. Watu bado wanadhani kuwa kila kitu ni katiba . Imeshabanangwa na kubagazwa kama alivyobagaza msahafu wao. Hawashindwi kuja na hicho kioja, japo najua CHADEMA hawataafiki
Kwanza lazima tujiulize kwanini mlinzi wa lisu kachukuliwa, hii ni dalili ya kitu kuandaliwa
 
Huu ni mtizamo wangu. Rais ametenga zile nafasi 4 za ubunge kwa wapinzani, na wanapewa CHADEMA kama sehemu ya maridhiano.

Kisha katika hao ndipo mmoja anateuliwa kushika nafasi ya uwaziri mkuu kama ilivyokwishatabiriwa awali.

CHADEMA wataingia huu mtego?
Kwa CCM hii yenye warafi haiwezi kutokea.
 
Maridhiano atakayakubali Lissu labda Lissu awe Raisi wa TZ,
I bet mwamba hatataka upuuzi.

niliwahi kisema nchi hii vingi vimeanza mwaka huu baada ya kushinda uenyekiti wa CHADEMA,
 
Back
Top Bottom