Raia Fulani
JF-Expert Member
- Mar 12, 2009
- 11,866
- 4,264
Msomage na katiba basi kabla hamjafyatua kitu! Unazijua sifa za kuteuliwa kuwa Waziri Mkuu?Huu ni mtizamo wangu. Rais ametenga zile nafasi 4 za ubunge kwa wapinzani, na wanapewa CHADEMA kama sehemu ya maridhiano. Kisha katika hao ndipo mmoja anateuliwa kushika nafasi ya uwaziri mkuu kama ilivyokwishatabiriwa awali.
CHADEMA wataingia huu mtego?
Waziri mkuu lazima awe mbunge aliyechaguliwa(mbunge wa jimbo)Huu ni mtizamo wangu. Rais ametenga zile nafasi 4 za ubunge kwa wapinzani, na wanapewa CHADEMA kama sehemu ya maridhiano.
Kisha katika hao ndipo mmoja anateuliwa kushika nafasi ya uwaziri mkuu kama ilivyokwishatabiriwa awali.
CHADEMA wataingia huu mtego?
Katiba unaijua hata kubabaisha tu ? PM hawezi kuwa mbunge wa kuteuliwa lazima uwe jimbo anzia hapo kwanza.......PM kutekeleza ilani ccm....hapo je ???Huu ni mtizamo wangu. Rais ametenga zile nafasi 4 za ubunge kwa wapinzani, na wanapewa CHADEMA kama sehemu ya maridhiano.
Kisha katika hao ndipo mmoja anateuliwa kushika nafasi ya uwaziri mkuu kama ilivyokwishatabiriwa awali.
CHADEMA wataingia huu mtego?
Mkuu watu wanapokusanua lengo ni kukurudishia akili upate kufahamuKatiba imevunjwa mara ngapi? Hivi uongozi uliopo unafuata katiba? Kama haufuati, ni kipi kinashindikana kwa gia ya maridhiano?
Rejea katiba, sifa za mtu atayeteuliwa kuwa waziri mkuu, lazima awe mbunge wa kuchaguliwa, wa chama chenye wabunge wengi zaidi ya vyama vingine.Huu ni mtizamo wangu. Rais ametenga zile nafasi 4 za ubunge kwa wapinzani, na wanapewa CHADEMA kama sehemu ya maridhiano.
Kisha katika hao ndipo mmoja anateuliwa kushika nafasi ya uwaziri mkuu kama ilivyokwishatabiriwa awali.
CHADEMA wataingia huu mtego?
Hii haitasaidia solution ni waliouwa wawajibishwe. La sivyo Rais atakaekuja atauwa wengi zaidi.Huu ni mtizamo wangu. Rais ametenga zile nafasi 4 za ubunge kwa wapinzani, na wanapewa CHADEMA kama sehemu ya maridhiano.
Kisha katika hao ndipo mmoja anateuliwa kushika nafasi ya uwaziri mkuu kama ilivyokwishatabiriwa awali.
CHADEMA wataingia huu mtego?
Na ww kaa kmya ! Nan alkuambia uwazir mkuu unapewa mezan Kwa ubunge wa kuteuliwa? Waziri mkuu lazma achaguliwe jimbonHuu ni mtizamo wangu. Rais ametenga zile nafasi 4 za ubunge kwa wapinzani, na wanapewa CHADEMA kama sehemu ya maridhiano.
Kisha katika hao ndipo mmoja anateuliwa kushika nafasi ya uwaziri mkuu kama ilivyokwishatabiriwa awali.
CHADEMA wataingia huu mtego?
Waziri mkuu lazima awe mbunge aliyechaguliwa(mbunge wa jimbo)
Unachowaza hakipo. Hakuna maridhiano ya hivyo
Ni dhana ambayo ccm wanadhani wanaweza kuitimiza kwa kuwa wameshatimiza mengi kinyume na matakwa ya kikatibaSawa, vyovyote iwavyo, unataka kusema hizo nafasi nne nani atalambishwa uwaziri mkuu, kuna lissu, heche, lema, mnyika, golugwa, au watalambishwa wizara nyeti mbalimbali, vipi na wale walioshiriki uchaguzi wao hawapo kwenye maridhiano?
pascal atakuwa na kifungu cha katiba kinachiweza kumpa mkuu wa nchi mamlaka ya kufanya teuzi kama hizi kwa mazingira kama hayaMkuu watu wanapokusanua lengo ni kukurudishia akili upate kufahamu
Hata kama katiba huvunjwa, Kuna vitu haviwezekani. Mojawapo ni hiko cha kumteua mpinzani kuwa waziri mkuu.
Pili, nani kakuambia yupo serious na hayo maridhiano hadi wafikie kuteua mpinzani kuwa waziri mkuu?
Mwisho, kesho jina la waziri mkuu litatajwa utalijua. Uache kuota
Huu ni mtizamo wangu. Rais ametenga zile nafasi 4 za ubunge kwa wapinzani, na wanapewa CHADEMA kama sehemu ya maridhiano.
Kisha katika hao ndipo mmoja anateuliwa kushika nafasi ya uwaziri mkuu kama ilivyokwishatabiriwa awali.
CHADEMA wataingia huu mtego?
Chadema hii haiwezi kufanya kazi na muuaji aliyeua Watanganyika zaidi ya 10,000 kamwe ingekuwa ile ya yule Mmachame mwenye makengeza kama samaki labda. Waziri Mkuu lazima awe mbunge toka jimboni. Kwaheri.Huu ni mtizamo wangu. Rais ametenga zile nafasi 4 za ubunge kwa wapinzani, na wanapewa CHADEMA kama sehemu ya maridhiano.
Kisha katika hao ndipo mmoja anateuliwa kushika nafasi ya uwaziri mkuu kama ilivyokwishatabiriwa awali.
CHADEMA wataingia huu mtego?