Wewe una akili za kike ....unadhani maridhiano ni rahisi kwenye damu...njia pekee ni samia kuachia kiti hata kwa kukimbia nchi japo lazima atakamatwa tu .Huu ni mtizamo wangu. Rais ametenga zile nafasi 4 za ubunge kwa wapinzani, na wanapewa CHADEMA kama sehemu ya maridhiano.
Kisha katika hao ndipo mmoja anateuliwa kushika nafasi ya uwaziri mkuu kama ilivyokwishatabiriwa awali.
CHADEMA wataingia huu mtego?
Kwa vile umeolewa na Abdul basi unajiona una akili sanaaa, kahaba mbovu weweNikisema Nyumbu hamna akili mnakasirika
Nafasi zilizobaki ni tatu,,sita kateua wabunge, moja mwanasheria mkuu wa serikali.Huu ni mtizamo wangu. Rais ametenga zile nafasi 4 za ubunge kwa wapinzani, na wanapewa CHADEMA kama sehemu ya maridhiano.
Kisha katika hao ndipo mmoja anateuliwa kushika nafasi ya uwaziri mkuu kama ilivyokwishatabiriwa awali.
CHADEMA wataingia huu mtego?
Waziri mkuu lazima atoke kwa wabunge wa kuchaguliwa..hawezi kutoka kwa wale kumi.Huu ni mtizamo wangu. Rais ametenga zile nafasi 4 za ubunge kwa wapinzani, na wanapewa CHADEMA kama sehemu ya maridhiano.
Kisha katika hao ndipo mmoja anateuliwa kushika nafasi ya uwaziri mkuu kama ilivyokwishatabiriwa awali.
CHADEMA wataingia huu mtego?
Mara ngapi katiba inavunjwa?Rejea katiba, sifa za mtu atayeteuliwa kuwa waziri mkuu, lazima awe mbunge wa kuchaguliwa, wa chama chenye wabunge wengi zaidi ya vyama vingine.
Afadhali ungekuwa mwehu kuliko kukosa akili!Huu ni mtizamo wangu. Rais ametenga zile nafasi 4 za ubunge kwa wapinzani, na wanapewa CHADEMA kama sehemu ya maridhiano.
Kisha katika hao ndipo mmoja anateuliwa kushika nafasi ya uwaziri mkuu kama ilivyokwishatabiriwa awali.
CHADEMA wataingia huu mtego?
Japokuwa kikatiba haiwezekan waziri mkuu atoke kwa wabunge wa kuteuliwa, hu mtego umelenga kuua credibility ya chadema kutoka kwenye jamii.Huu ni mtizamo wangu. Rais ametenga zile nafasi 4 za ubunge kwa wapinzani, na wanapewa CHADEMA kama sehemu ya maridhiano.
Kisha katika hao ndipo mmoja anateuliwa kushika nafasi ya uwaziri mkuu kama ilivyokwishatabiriwa awali.
CHADEMA wataingia huu mtego?
Unakimbilia sehemu.nyepesi tu kujibu. Soma kichwa cha habari pia na ukitolee maelezo. Pia hilo ni swali liliulizwa. Kadhalika.hakuna kinachoshindikana. Kama alishinda kwa 98% inashindikana.nini kufanya kilichiandikwa hapo. Ina maana ushindinwake ni halali kikatiba?ENYI MAJUHA WAZIRI MKUU LAZIMA AWE MBUNGE WA KUCHAGULIWA
Asante kwa majibu yako ya kitaaluma. Watu bado wanadhani kuwa kila kitu ni katiba . Imeshabanangwa na kubagazwa kama alivyobagaza msahafu wao. Hawashindwi kuja na hicho kioja, japo najua CHADEMA hawataafikiKikatiba hapana kabisa wao kupata u pm!
Lakini kwakua imekua desturi Sasa mwenyekiti kuvunja katiba kwa maslahi binafsi ya kisiasa kama kuengua wagombea na kuwaweka watu magerezani kinyume Cha Sheria!Anaweza kufanya lolote kama naibu waziri mkuu alivyo patikana kinyume na katiba na taratibu!!
Tujiandae Kwa lolote kabisa!!
Huu ni mtizamo wangu. Rais ametenga zile nafasi 4 za ubunge kwa wapinzani, na wanapewa CHADEMA kama sehemu ya maridhiano.
Kisha katika hao ndipo mmoja anateuliwa kushika nafasi ya uwaziri mkuu kama ilivyokwishatabiriwa awali.
CHADEMA wataingia huu mtego?
Nafasi zilizobaki ni tatu,,sita kateua wabunge, moja mwanasheria mkuu wa serikali.
Kwanza lazima tujiulize kwanini mlinzi wa lisu kachukuliwa, hii ni dalili ya kitu kuandaliwaAsante kwa majibu yako ya kitaaluma. Watu bado wanadhani kuwa kila kitu ni katiba . Imeshabanangwa na kubagazwa kama alivyobagaza msahafu wao. Hawashindwi kuja na hicho kioja, japo najua CHADEMA hawataafiki
Kwa CCM hii yenye warafi haiwezi kutokea.Huu ni mtizamo wangu. Rais ametenga zile nafasi 4 za ubunge kwa wapinzani, na wanapewa CHADEMA kama sehemu ya maridhiano.
Kisha katika hao ndipo mmoja anateuliwa kushika nafasi ya uwaziri mkuu kama ilivyokwishatabiriwa awali.
CHADEMA wataingia huu mtego?
Kuna jamaa yule anasema eti hii ni.AI, dah! 😓
Hahahaa... Hata maridhiano bado wanaona wanapunjwa?Kwa CCM hii yenye warafi haiwezi kutokea.