What if nafasi 4 za ubunge zilizosalia wanapewa CHADEMA?

Wapewe … wakipewa sisi wananchi inatuhusu nini?

Hii ngoma kwa sasa ni ya wananchi wasio wanasiasa.

Upinzani uko kwa wananchi wengi wasio na vyama na wachache wenye vyama.

Hatumtambui yeyote atakayekwenda kuridhiana.
 
Kwa zama hizi na hasa kwa TZ, imekuwa ni kawaida kutengeneza tatizo halafu inaletwa suluhisho kisha wahusika kujisifu kwa kuleta suluhisho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…