thinky
JF-Expert Member
- Jan 13, 2014
- 2,121
- 264
Unataka isemeje!!!? Mbona kama unataka kulazimisha kitu hapa..???
xxxxx The cult xxxxx
inasemaje kuhusu mpinga kristu kitabu cha daniel
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unataka isemeje!!!? Mbona kama unataka kulazimisha kitu hapa..???
xxxxx The cult xxxxx
Unataka isemeje!!!? Mbona kama unataka kulazimisha kitu hapa..???
xxxxx The cult xxxxx
ETI mtu unakua NA sala ya kuombea WAFU. Ukamuombee mtu aliekufa ili umsaidie nini? Utaweza kumuondolea zambi MFU wewe? Ndio Maana mnafikia hatua kuwatangaza Watu waliokufa Kua WATAKATIFU.
ETI mtu unakwenda KUUNGAMA DHAMBI KWA PADRI. Yani binadamu mwenzako unakwenda kumueleza madhambi yako weeeeeeeh NA YEYE bila ata Aibu anakuambia Nenda UMESAMEHEWA! amekua nani Huyo mpk aweze kuondolea Watu Dhambi? Hiyo ndio KIFURU KUBWA MBELE ZA MUNGU kwa kujifanya kuchukua nafasi ya MUNGU hapa DUNIANI kwa kuwaondolea Watu Dhambi!
Alafu ETI tedo anakazana kutupigia kelele hapa. Pole sn Bwana Mdogo!
We mlaaniwa unajua nini.....Siwezi kukuelezea mambo matakatifu namna hiyo kwa mtu kams wewe.....
Sasa kwa kuwa wewe umeaminishwa kuwa 1+1=11 na kuapa kushikilia hayo kama ndo kweli, hakika nikuambia kuwa 1+1=2 hutakaa uamini hata Yesu arudi....
Ka hiyo siwezi.poteza muda wangu....
xxxSeventh adventist Church is the cult religion xxxx

sema unachojua mbona huna hoja ni kejeli zisizo na msingi
ETI mtu unakua NA sala ya kuombea WAFU. Ukamuombee mtu aliekufa ili umsaidie nini? Utaweza kumuondolea zambi MFU wewe? Ndio Maana mnafikia hatua kuwatangaza Watu waliokufa Kua WATAKATIFU.
ETI mtu unakwenda KUUNGAMA DHAMBI KWA PADRI. Yani binadamu mwenzako unakwenda kumueleza madhambi yako weeeeeeeh NA YEYE bila ata Aibu anakuambia Nenda UMESAMEHEWA! amekua nani Huyo mpk aweze kuondolea Watu Dhambi? Hiyo ndio KIFURU KUBWA MBELE ZA MUNGU kwa kujifanya kuchukua nafasi ya MUNGU hapa DUNIANI kwa kuwaondolea Watu Dhambi!
Alafu ETI tedo anakazana kutupigia kelele hapa. Pole sn Bwana Mdogo!
yesu alimfufua lazaro, kuna ufufuko wa wafu siku ya hukumu ikifika. Mama bikira maria anatuasa tusali rozali tupate amani , ametuasa tuwaombee wasiomwamini yesu mwokozi , wamuamini ili waokoke , kuna moto wa milele jamani.
Yesu alimfufua lazaro, kuna ufufuko wa wafu siku ya hukumu ikifika. Mama bikira Maria anatuasa tusali rozali tupate amani , ametuasa tuwaombee wasiomwamini Yesu mwokozi , wamuamini ili waokoke , kuna moto wa milele jamani.
Illusion zilizochanganyika na Allucination zikakorogwa na Dillusion
biblia inamajibu yote
Niko poa Ntuzu! How about you?
Umepotea sana kiongozi!!!
Mkuu nimesearch google na kujiridhisha NWO ni mpango wa Freemansons ingawa hilo neno lina historia ndefu! Embu husisha ile dream ya Sir Adolf!
Ntuzu NWO ni agenda ya institutions tofauti tofauti!
Na zote ni powerfull institutions!
...
- Freemansons under the umbrella of U.S.A! Wamarekani wanajifanya kusimamia haki za binadamu na kupinga ugaidi! Ivi unajua kwanini zile nchi za kiarabu zinashukiwa ugaidi?
- Powerfull states under the umbrella of UN! Lengo kuu la UNO ilikuwa ni kutuliza amani ya dunia [dunia = white races] but for now na kwa sera za siri za U.S.A [Freemansons] wanataka kuitawala dunia! Hata hivyo kuna kusalitiana kutokana na kutoaminiana!
- Hidden agenda ya USSR kuhusu SOCIALISM! Hawa jamaa bado wanaamini the highest stage of development ni Socialism!
Bado wanaamini matheory ya Karl Marx! Hata hivyo hawakubali kuburuzwa na U.S.A!
- Religion institution especially Christian!
Nadhani unaona usanii unaotendeka ktk hiyo dini! Nakubali wapo christian wengi wa ukweli but na Mafreemansons wanaitumia hiyo dini kuhakikisha matakwa yao yanatimia!
Nadhani unaona madhehebu yanavyoongezeka! Unaona miujiza inavyozidi na hata clear signs za mafreemanson umeziona zinavyotumika makanisani!
- Hata taasisi za hela zinatumika, WB, IMF na Paris Bank! Wanatumia loans and aid kuhakikisha wanapitisha sera zao! Wanachokifanya kwanza ni kuharibu maadili! Kumbuka Ndoa za jinsia moja alafu niambie zinamausiano gani na mikopo au misaada kwa nchi masikini, mkumbuke na Museven!
For somehow wameanza kufanikiwa but kuna vikwazo vingi sana vinavyowafanya wasitimize ndoto zao!
Wanataka Serikali 1!
Pesa 1
Wanataka kupunguza population! Hili wanafanikiwa kidogo (kumbuka bidhaa zao kama soda) but kwa idadi ya watu wanaotaka wao hawawezi kuipata!
Ningeona kwenye bibleni vipi wameliongelea hili, ingekua poa sana!
mi nafikil 2silumbane kuhusu dini kam mashaxizo alilvyosema wa2 hawa wantumia kivul cha dini kuipotosha dunia haxa wale wanao mtii mungu wa2hawa wamejkita xana ktk dini ya ki christo pia hata ya k islam kwan wamesha anza hata ku2nga misahaf bandia
ETI mtu unakua NA sala ya kuombea WAFU. Ukamuombee mtu aliekufa ili umsaidie nini? Utaweza kumuondolea zambi MFU wewe? Ndio Maana mnafikia hatua kuwatangaza Watu waliokufa Kua WATAKATIFU.
ETI mtu unakwenda KUUNGAMA DHAMBI KWA PADRI. Yani binadamu mwenzako unakwenda kumueleza madhambi yako weeeeeeeh NA YEYE bila ata Aibu anakuambia Nenda UMESAMEHEWA! amekua nani Huyo mpk aweze kuondolea Watu Dhambi? Hiyo ndio KIFURU KUBWA MBELE ZA MUNGU kwa kujifanya kuchukua nafasi ya MUNGU hapa DUNIANI kwa kuwaondolea Watu Dhambi!
Alafu ETI tedo anakazana kutupigia kelele hapa. Pole sn Bwana Mdogo!
YOHANA 20:23
Soma utapata jibu la swali lako la ondoleo la dhambi
ETI mtu unakua NA sala ya kuombea WAFU. Ukamuombee mtu aliekufa ili umsaidie nini? Utaweza kumuondolea zambi MFU wewe? Ndio Maana mnafikia hatua kuwatangaza Watu waliokufa Kua WATAKATIFU.
ETI mtu unakwenda KUUNGAMA DHAMBI KWA PADRI. Yani binadamu mwenzako unakwenda kumueleza madhambi yako weeeeeeeh NA YEYE bila ata Aibu anakuambia Nenda UMESAMEHEWA! amekua nani Huyo mpk aweze kuondolea Watu Dhambi? Hiyo ndio KIFURU KUBWA MBELE ZA MUNGU kwa kujifanya kuchukua nafasi ya MUNGU hapa DUNIANI kwa kuwaondolea Watu Dhambi!
Alafu ETI tedo anakazana kutupigia kelele hapa. Pole sn Bwana Mdogo!
bado hamuoni kuwa mungu anatengenezwa hata wewe unaweza kutengeza mungu chumbani kwako?endeleeni kuumbuana
sio kutunga ni kutumia