Mashaxizo
JF-Expert Member
- Jun 13, 2013
- 6,707
- 3,346
am full christian believing a BIBLE i say itatokea
Embu tiririka basi!
Kwanini unaamini itatokea?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
am full christian believing a BIBLE i say itatokea
The Creator is more powerfull than lucifer, so i believe the plan won't be successful
Biblia inasema... "Kizazi hiki hakitapita hadi hayo yote yaliyatabiriwa yatumie"
Mwenye sikio na asikie.....
Basi Freemanson wameota na mleta mada anaweweseka!
Hebu fafanua maana umeniacha kwenye "mataa"!!!
Charminglady ni yapi hayo?
Jee na uo mpango wa mafreemason kutawala dunia ilitabiriwa?
Ndiyo mkuu, kasome Kitabu cha Daniel na Ufunuo kila kitu kiliandikwa na biblia haisemi uongo!
we kasome utaona kama ni msomi mana ni mafumbo
Ok! Embu kama uko karibu na bible jaribu kuspecify ni sura ya ngapi inaongelea hayo mambo!
Kitabu cha danieli kina sura 14 na Ufunuo wa Yohana kuna sura 22!
...
Cc: Eiyer
it must be to fullfill the creators plan
Ok! Embu kama uko karibu na bible jaribu kuspecify ni sura ya ngapi inaongelea hayo mambo!
Kitabu cha danieli kina sura 14 na Ufunuo wa Yohana kuna sura 22!
...
Cc: Eiyer
has come not is coming.
Biblia inasema... "Kizazi hiki hakitapita hadi hayo yote yaliyatabiriwa yatumie"
Mwenye sikio na asikie.....