What if New World Order becomes true?

What if New World Order becomes true?

The Creator is more powerfull than lucifer, so i believe the plan won't be successful

Biblia inasema... "Kizazi hiki hakitapita hadi hayo yote yaliyatabiriwa yatumie"

Mwenye sikio na asikie.....
 
Hebu fafanua maana umeniacha kwenye "mataa"!!!

Hiyo mada ni 1 kati ya ndoto za Fremasory = kuitawala dunia na kuunda serikali moja itakayoongoza na Mafrimasory.

Huyu mleta mada anataka kutuaminisha kwamba ni lazima hilo litokee!
 
Kama ni New World Order basi jua kwamba imeshaanza kutokea na dunia ipo kwenye transition period kuelekea kwenye ukamilifu wa order hiyo...

Huitaji kulisubiria hilo tena maana tayari upo kwenye hatua za kuelekea huko
 
Ndiyo mkuu, kasome Kitabu cha Daniel na Ufunuo kila kitu kiliandikwa na biblia haisemi uongo!

Ok! Embu kama uko karibu na bible jaribu kuspecify ni sura ya ngapi inaongelea hayo mambo!
Kitabu cha danieli kina sura 14 na Ufunuo wa Yohana kuna sura 22!
...
Cc: Eiyer
 
Last edited by a moderator:
Ok! Embu kama uko karibu na bible jaribu kuspecify ni sura ya ngapi inaongelea hayo mambo!
Kitabu cha danieli kina sura 14 na Ufunuo wa Yohana kuna sura 22!
...
Cc: Eiyer

we kasome utaona kama ni msomi mana ni mafumbo
 
Last edited by a moderator:
we kasome utaona kama ni msomi mana ni mafumbo

Hahahahahaaa!
Kwaiyo nikiwa mbumbumbu naweza kutoka kapa? Mwee!
...
Specify sura basi nikajisomee kwa uhakika as if umesema kuna mafumbo!
 
Ok! Embu kama uko karibu na bible jaribu kuspecify ni sura ya ngapi inaongelea hayo mambo!
Kitabu cha danieli kina sura 14 na Ufunuo wa Yohana kuna sura 22!
...
Cc: Eiyer

Mashaxizo vp Mkuu?

Hii World Oder inasukumwa Na nani ktk Huu ulimwengu? Maana unaweza ukasikia new world Oder, Mara Freemasons etc. Je Hawa ni Watu tofauti au ni KITU kimoja wanaojaribu kutudanganya?

Tuwafahamu kwanza hao then ITAKUA rahisi kuwapata ktk MAANDIKO!
 
Last edited by a moderator:
it must be to fullfill the creators plan

Umeseam kweli kabisa lazima hilo litatokea ili unabii uliosemwa katika maandiko yatimie.Tusome maandiko na kwa mfano unaposoma hapa habari kama hii unaifanyia uchunguzi na usibishe tu omba sana na MUNGU ATAKUSAIDIA KUPATA UKWELI.
 
Nahisi harufu kali ya Masalia hapa...Vijukuu vya vya mama Hellen viko ulingoni..
 
Biblia inasema... "Kizazi hiki hakitapita hadi hayo yote yaliyatabiriwa yatumie"

Mwenye sikio na asikie.....

Kwa hiyo wewe lazima utaona....???

Hii haina tofauti na Great Dissapointment ambayo iliua Wasabato maelfu kwa maelfu kutokana na utabiri wa kuzimu wa muasisi wa dhehebu hilo mwanamke Hellena G White....

Sasa nahisi lile tukio halikukomeshwa bado linaendelezwa...
 
Naangalia kwa makini na uchunguzi yakinifu....Mada za namna hii kwann zinapendwa na Masalia(Wasabato).....?????

Hawa watu wanakwenda tena kwenye Great Disappointment ingine...
 
Tunataka kuamini au hatutaki,ukweli ndio huo NWO iko tayari,na vitu kama matumizi ya card na Bar cod ni
moja ya vitu vinavyokwenda kukamilisha maandalizi ya NWO na Mpinga Kristo kutawala dunia kwa maana hivi
vinatupeleka kwenye cashless mabayo itatimiza andiko la hawatanunua wala kuuza mpaka kuwa na chap ya Mpinga Kristo
 
Back
Top Bottom