Hivyo vitu vinajulikana na yeyote anaweza kuamua kujaribu yeye mwenyewe ili kujiridhisha kama ni kweli ama sio kweli ila cha kusikitisha huwa haiwi hivyo bali mtu yeye anapinga na hoja yake ni kwamba hakuna uthibitisho wa kisayansi.Yeah ila kumwambia mtu kwa maneno tu haitoshi tu mpe njia za kufanya ili athibitishe mwenyewe tu .
Kama vipo na anauwezo wa kuthibitisha na wewe unaweza mfanya aweze thibitisha mwenyewe , hilo litakua tatizo lake na sio lako sasa.Hivyo vitu vinajulikana na yeyote anaweza kuamua kujaribu yeye mwenyewe ili kujiridhisha kama ni kweli ama sio kweli ila cha kusikitisha huwa haiwi hivyo bali mtu yeye anapinga na hoja yake ni kwamba hakuna uthibitisho wa kisayansi.
Sio mimi nimfanye aweze kuthibitisha, hapo ndio kwenye tatizo nanalolisema. Nimekutajia hivyo vitu ambavyo vinajulikana ila tatizo ni kwamna kuna watu hata hawataki kuvielewa na kujaribu ili kujua ukweli bali wao huchagua kupinga hivyo vitu kwa hoja ya kwamba hakuna maelezo ya kisayansi kuelezea ufanyaje kazi wa hivyo vitu.Kama vipo na anauwezo wa kuthibitisha na wewe unaweza mfanya aweze thibitisha mwenyewe , hilo litakua tatizo lake na sio lako sasa.
Sio rahisi kila mtu kuelewa tu bila uthibitisho , sioni tatizo wakibaki hivyo tu kama utakosa uthibitisho wa kisayansi wanaoutaka wao.Sio mimi nimfanye aweze kuthibitisha, hapo ndio kwenye tatizo nanalolisema. Nimekutajia hivyo vitu ambavyo vinajulikana ila tatizo ni kwamna kuna watu hata hawataki kuvielewa na kujaribu ili kujua ukweli bali wao huchagua kupinga hivyo vitu kwa hoja ya kwamba hakuna maelezo ya kisayansi kuelezea ufanyaje kazi wa hivyo vitu.
AWhat a fantastic question!
I won’t (and can’t) get into as much detail as I’d like, but I will tell the basics. Everything in the universe is a form of energy. Energy of some kind, and vibrates at various frequencies. Lower frequencies are solid matter, for example, and the higher frequencies are what we call spirit. God, of course, it the highest of all, the purest and highest form of energy, the Source of all.
Spirit is basically a particular form of energy within a certain range of frequencies. No one can really tell you the EXACT frequencies, but they are far above human experience without being open to that level. Spiritual energy is known by many names all over the world, and people have been perceiving, and trying to describe and use, this energy for thousands of years. For example in martial arts there is ki (in Japanese) or chi (in Chinese) and prana (in Hindi) and many other names over the years.
Spiritual beings, however, are not just energy, but like human beings a collection of things, organs, substances, and levels of energy. Our bones, for example, the densest matter, is at the lowest frequency of energy, the liquids higher, our emotions higher than that, our thoughts above those. Our human spirit is a “body” of a collection of different energy forms, organs, if you want to call them that, things that make up our spiritual body or form. Other spiritual beings don’t have bodies, but the spiritual bodies, which are energy forms of various kinds that make them up.
We humans don’t fully understand these things, and sometimes people like me take an interest in this phenomena and can only try to understand and piece things together from experience and the writings of ancient people who tried to understand them in the only ways they could. For example, God. We can only think of a being like this as the Highest form of spiritual energy of all. Below him are “angels”, beings on somewhat lesser frequencies or levels of vibration. And they go farther down the levels of vibration or frequency, down to what ancient people called “demons”, the lowest of spiritual entities. Then we have humans, who are not only spiritual beings but inside a physical body, and develop a “soul” through life. Below us are animals, then all the other critters in creation, then non-living things.
There are so many books on this and so many opinions, pro and con, that one has to study and consider what makes sense to them, and not be dogmatic about it. After all, we can’t really know until we are no longer in physical bodies and enter the spiritual realm personally. We have to take the word of others who studied this before us and test it. For example, there was a recent question about chakras. These are places that interface with the physical body made of energy, and a concentration of this energy at a particular range of frequencies. A chakra is a wheel, a vortex. But it seems imaginary because it consists of this spiritual energy people have always been perceiving, but just can’t fully understand or prove to everyone’s satisfaction.
I understand the language used has so many literatures concerning this topic comparing to our native language (Bongoman 🤗😄).What a fantastic question!

Can you please go further deeper 🙏, it's so interesting topic and I hope finally through discussions in this platform we can gain some understanding about this invisible realm.Spiritual energy is believed to be a higher form of energy vibrating at varying frequencies, with different entities occupying different levels within this realm.
From divine beings like God to angels, demons, and humans, each entity is thought to exist on a specific vibrational frequency. Concepts like chakras provide insight into how spiritual energy interacts with our physical bodies.
While our understanding may be limited, exploring these topics offers a glimpse into the complex nature of spiritual existence and our place within it.
Ndio nikasema kwamba watu wa aina hiyo hawana tofauti na watu wa dini.Sio rahisi kila mtu kuelewa tu bila uthibitisho , sioni tatizo wakibaki hivyo tu kama utakosa uthibitisho wa kisayansi wanaoutaka wao.
Ni mtazamo wako , upo sawa.Ndio nikasema kwamba watu wa aina hiyo hawana tofauti na watu wa dini.
Mkuu ujue sayansi ni sehem tu ya maarifa, hivo haiwezi kuthibitisha kila kitu.Sio rahisi kila mtu kuelewa tu bila uthibitisho , sioni tatizo wakibaki hivyo tu kama utakosa uthibitisho wa kisayansi wanaoutaka wao.
Yeah ila maneno matupu tu hayatoshi .Mkuu ujue sayansi ni sehem tu ya maarifa, hivo haiwezi kuthibitisha kila kitu.
Nadhani unayaona maneno matupu coz unataka yathibitishwe kisayansi.Yeah ila maneno matupu tu hayatoshi .
Hauwezi kuniambia tu jambo fulani lipo au marekani pako hivi au vile bila mimi kupata uthibitisho na uzoefu wa mimi mwenyewe. Muafaka au suluhisho la kukomesha imani ni kujua .Nadhani unayaona maneno matupu coz unataka yathibitishwe kisayansi.
Imani haigeuzi ndoto kuwa ukweli. Haibadilishi uongo kuwa ukweli au kinyume chake.Hauwezi kuniambia tu jambo fulani lipo au marekani pako hivi au vile bila mimi kupata uthibitisho na uzoefu wa mimi mwenyewe. Muafaka au suluhisho la kukomesha imani ni kujua .
Iman huzipa uhalisia abstract ideas, hivo hakuna kujua bila imani.Hauwezi kuniambia tu jambo fulani lipo au marekani pako hivi au vile bila mimi kupata uthibitisho na uzoefu wa mimi mwenyewe. Muafaka au suluhisho la kukomesha imani ni kujua .
Soma ukichoandika tenaIman huzipa uhalisia abstract ideas, hivo hakuna kujua bila imani.
Imani ndo msingi wa maarifa yetu, bila kuziamini abstruct ideas hakuna maarifa.Imani haigeuzi ndoto kuwa ukweli. Haibadilishi uongo kuwa ukweli au kinyume chake.
Na si chochote zaidi ya neno la kiimani ambalo watu hulitumia kuhalalisha kuamini katika mambo mbalimbali. Pia ni dhana ambayo hutumiwa tu na watu wakati hawana sababu au ushahidi wa kuamini katika kile ambacho kina ushahidi wa ukweli.
Kwa nini ukomeshe imani? Nakumbuka hata Kiranga huwa anasema kwamba kulala huku ukitegemea kuamka salama kesho ni imani kwa maana lolote linaweza kutokea usiweze kuamka hai kesho.Hauwezi kuniambia tu jambo fulani lipo au marekani pako hivi au vile bila mimi kupata uthibitisho na uzoefu wa mimi mwenyewe. Muafaka au suluhisho la kukomesha imani ni kujua .
Nikijua kitu sihitaji tena kuamini, hakuna mtu anamnyima mtu kuamini ni haki ya kila mmoja ila ukisema spiritual ipo nitahitaji uthibitisho, kama ni kulala nimesha lala mara nyingi nakuamka angalau hilo jambo ninauzoefu nalo wala sihitaji kuaminishwa.Kwa nini ukomeshe imani? Nakumbuka hata Kiranga huwa anasema kwamba kulala huku ukitegemea kuamka salama kesho ni imani kwa maana lolote linaweza kutokea usiweze kuamka hai kesho.