Hongera mkuu, umewapa darasa zuri hadi wameisadiki imani japo mwanzo waliikanusha.Tuelewane kwanza hapo kwenye kujua na imani maana ndio kwenye tatizo, umetoa mifano kadhaa ya imani na hadi unasema imani zote zinaweza kuthibitika sasa ajabu tunapokuja kwenye imani ya Mungu au mambo ya spirtual unasema unataka kujua na si kuamini.