What is energy in spirituality

What is energy in spirituality

Tuelewane kwanza hapo kwenye kujua na imani maana ndio kwenye tatizo, umetoa mifano kadhaa ya imani na hadi unasema imani zote zinaweza kuthibitika sasa ajabu tunapokuja kwenye imani ya Mungu au mambo ya spirtual unasema unataka kujua na si kuamini.
Hongera mkuu, umewapa darasa zuri hadi wameisadiki imani japo mwanzo waliikanusha.
 
Mkuu, mijadala ni sehem ya kushare, kujifunza na kubadilishana maarifa, hivo kutofautiana mitizamo ni kawaida, kitu kisichofaa ni matusi.
Ni kweli kutofautiana mitazamo ni kawaida ndio maana kuna baadhi ya atheists wanaamini kuhusu ghosts na hutokana na personal experiences, ila atheists wengine wanaweza kuona hao atheists hawako sahihi kwa mtazamo wa kwamba ukiwa atheist hutakiwi kuamini vitu kama hivyo.
 
To cut he story short.....
Hata formula zenyewe zinasema tufanye kazi ili kupata Energy.....

1737409496468.png


Halafu ukiongezea Efficiency, lazima utakutana na gari la kubebea hela......


1737409232484.png
 
Back
Top Bottom