What is energy in spirituality

What is energy in spirituality

Waliofika imethibitika wamefika ambao hawakufika pia imethibitika hawakufika, kwa hiyo hiyo imani kwa pande zote mbili imethibitika.
Imani uliyozungumzia ni kufika safari na sio kutokufika safari, mkuu muhimu hapa ni kujua nafasi ya imani katika maisha yetu.
 
Na imani zote unaweza kuzithibitisha shida hapo kwenye spiritual Sijui Mungu , ndio ni imani kuthibitisha sasa.
 
Vizuri kutambua nafasi ya imani tofauti na vile mnavyosemaga hamtaki kuamini mnataka kujua.
 
Nataka kujua Mungu yupo? Kuamini tu unaweza kuchanganyikiwa, kwa sababu wapo Mungu zaidi 1000 na kila imani inasema Mungu wao ndio wakweli , katika hali kama hii nataka kujua kwa uthibitisho kamili na sio blabla tu.
 
Matokeo ya negative au positive yote hayo ni uthibitisho wa imani kiujumla wake.
Sasa mtu kwa imani yake kwa Mungu akafanya maombi kwa Mungu na akapata matokeo ya kweli vilevile alivyoomba je hii haithibitishi imani ya uwepo wa Mungu?
 
Nataka kujua Mungu yupo? Kuamini tu unaweza kuchanganyikiwa, kwa sababu wapo Mungu zaidi 1000 na kila imani inasema Mungu wao ndio wakweli , katika hali kama hii nataka kujua kwa uthibitisho kamili na sio blabla tu.
Si umesema imani zinathibitika sasa kuchanganyikiwa kunatoka wapi?
 
Sasa mtu kwa imani yake kwa Mungu akafanya maombi kwa Mungu na akapata matokeo ya kweli vilevile alivyoomba je hii haithibitishi imani ya uwepo wa Mungu?
Unaweza usisali na ukapata matokeo na unaweza kusali na usipate matokeo , kwa sababu mchakato wa matokeo unategemea mambo mengi .

Thibitisha uwepo wa Mungu.
 
Thibitisha uwepo wa spiritual na Mungu?
Tuelewane kwanza hapo kwenye kujua na imani maana ndio kwenye tatizo, umetoa mifano kadhaa ya imani na hadi unasema imani zote zinaweza kuthibitika sasa ajabu tunapokuja kwenye imani ya Mungu au mambo ya spirtual unasema unataka kujua na si kuamini.
 
Naona tuishie hapa kwa sababu nimeona hausomi ninachokiandika bali unawaza unachotaka kujibu tu , kwa hiyo nakua kama narudia rudia maelezo, asante 🙏
 
Unaweza usisali na ukapata matokeo na unaweza kusali na usipate matokeo , kwa sababu mchakato wa matokeo unategemea mambo mengi .

Thibitisha uwepo wa Mungu.
Sasa kuna tofauti gani na kuamini kufika safari kisha wakawa wenye kufika na wengine wasifike hiyo safari?
 
Naona tuishie hapa kwa sababu nimeona hausomi ninachokiandika bali unawaza unachotaka kujibu tu , kwa hiyo nakua kama narudia rudia maelezo, asante 🙏
Hapana ni wewe ndio hauzingatii unachoandika unaandika ili tu kupinga tu imani ya Mungu, mimi nasoma maelezo yako kwa makini na kuyaelewa.
 
Back
Top Bottom