What names sound " Too Old" For a baby? ( Jina gani linaonekana la kizee sana kwa mtoto)?

What names sound " Too Old" For a baby? ( Jina gani linaonekana la kizee sana kwa mtoto)?

Sioni kama ya kizee labda namna ya utamkaji wa Hilo neno ndo shida,

Perpetua, me nawaita papecho 😂

Hyacinth

Yolanda

Donatila

Dativa

Akwilini

Elionora

Angelina bora Angela au angel


Nitarud ni mm wenu Exodus
 
Back
Top Bottom