What should I do?

Amen
 
Nimecheka hapo mwishoni eti mimacho😂😂
 
Kuwapata hao sahihi ndio kimbembe
 
Simple Mkuu.
Toka kwenye comfort zone, jichanganye ishi na watu na maisha ni watu. Utafurahia.
Unaweza anza hata kwa kwenda club tu ukapata kurefresh na kuanza kupata confidence ya kujiachia.
Ila punguza stress za kuwaza kupata kazi, fanya bidii tu kwenye masuala yako. Utafanikiwa.
 
Boyfriend hapana, wanani heartbreak sana nakuwa sina hata amani ya kuwa kwenye mahusiano.
Ningekuwa sijaoa ningekuoa wewe...maana tunaendana sanaa..na life linasonga sanaa....marafiki wengi masnitch sanaa...Mimi yalishanikuta..watu wakanitumia kama ngazi...lakini nayakumbuka mazuri yao hapo nahisi walivuta labda niweze kupush majukum yao piaa... lakini Mwenyezi Mungu ni mwemaa... namshukuru..maisha yanasongaa
 
mkuu pole sana
 
kwa sauti ile hata mimi ningekupigia kila leo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…