What should I do?

What should I do?

Iko hivi,swala la kutoboa kimaisha sio lazima uweze kuinteract na watu wengi ingawa kwa kiasi flani inasaidia.Kuna watu ambao ni introverts ambao kama ni marafiki anao mmoja au hawazidi hata watano lkn mambo yake ni makubwa sana,na kuna watu wana marafiki wengi sana lkn yeye kila siku mtu wa kupiga mizinga.Kwahiyo kufanikiwa ni NEEMA tu kutoka kwa Mungu,ila usiache kupambana na wala usikate tamaa kwa kile unachoamini....
Amen
 
Back in 2018,2019,2020 huko
Nilikuwa naringa 🤣🤣
Najikuta siwezi jimix na watu 😂😂
Najiona miss indoor
Nilikuwa napata watu/ marafiki nashindwa kuwakeep
2021. Nikaanza kutoka kwenye ile zone, nikaacha kuwa categorize watu, kunata kukaniisha. nina hakika miaka niliyokuwa nayo 2020 ndiyo anayo Miss macho now. Akatae

Aiii now nina watu
Ambao hata nisipowapigia wao watanipigia
Siwezi kaa siku nzima sijapigiwa

Na kuna wale wanaweza jileta wawe friends
Kumbe wanakuja kukujua mimacho ni nani
Uwe makini 🤣🤣🤣 Ms eyes
Nimecheka hapo mwishoni eti mimacho😂😂
 
Usitafute watu wengi tafuta watu sahihi mm ninawasiliana na kujuana na watu kibao ila tunaopeana michongo na deals angalau mkono uende kinywani ni wachache alafu wa kawaida sana hawa wengine wanabaki kuwa watu kwenye maisha ila huwezi sema unamuomba akupe hata deal la kupata 50k tu kinachobaki wao wakiona umefanya kitu wanabaki kuita ah tajiri ah jamaa umeyapatia hizi kauli sizipendi basi tu.
Kuwapata hao sahihi ndio kimbembe
 
Simple Mkuu.
Toka kwenye comfort zone, jichanganye ishi na watu na maisha ni watu. Utafurahia.
Unaweza anza hata kwa kwenda club tu ukapata kurefresh na kuanza kupata confidence ya kujiachia.
Ila punguza stress za kuwaza kupata kazi, fanya bidii tu kwenye masuala yako. Utafanikiwa.
 
Boyfriend hapana, wanani heartbreak sana nakuwa sina hata amani ya kuwa kwenye mahusiano.
Ningekuwa sijaoa ningekuoa wewe...maana tunaendana sanaa..na life linasonga sanaa....marafiki wengi masnitch sanaa...Mimi yalishanikuta..watu wakanitumia kama ngazi...lakini nayakumbuka mazuri yao hapo nahisi walivuta labda niweze kupush majukum yao piaa... lakini Mwenyezi Mungu ni mwemaa... namshukuru..maisha yanasongaa
 
mkuu pole sana
 
Back in 2018,2019,2020 huko
Nilikuwa naringa 🤣🤣
Najikuta siwezi jimix na watu 😂😂
Najiona miss indoor
Nilikuwa napata watu/ marafiki nashindwa kuwakeep
2021. Nikaanza kutoka kwenye ile zone, nikaacha kuwa categorize watu, kunata kukaniisha. nina hakika miaka niliyokuwa nayo 2020 ndiyo anayo Miss macho now. Akatae

Aiii now nina watu
Ambao hata nisipowapigia wao watanipigia
Siwezi kaa siku nzima sijapigiwa

Na kuna wale wanaweza jileta wawe friends
Kumbe wanakuja kukujua mimacho ni nani
Uwe makini 🤣🤣🤣 Ms eyes
kwa sauti ile hata mimi ningekupigia kila leo
 
Back
Top Bottom