What should I do?

What should I do?

Kwanza tambua na kubali kwamba wewe ni introvert.
Pili, jaribu kutafuta watu wa karibu na sio marafiki kama unavyo fikiri.
Marafiki unaweza ukawanao hata 1,000 na wote wasiwe marafiki wa faida katika maisha yako, na kwatabia za watu wa aina yako yawezekana marafiki wengi wasio na faida kwako ndio watakuongezea shida na makasiriko zaidi.
You better find a closer friend for your inner cycle, because they will be always there for you babe...😊
Yaani namaanisha kwamba.....
Nibora uwe na watu wako wa karibu ambao ni sahihi hata watano (5) ambao watakua tayari kusimama na wewe wakati wote, kuliko kua na marafiki 100 wasio na faida kwako.
Okay.......
Kua na marafiku wengi haikupi uhakika wa kutengeneza network kubwa.
Nakuunga mkono,watu wanatofautiana mioyo unaweza pata mtu mwenye connection nzito lkn akawa mzito kukusaidia,Mimi mwenyewe ni introvert,Kuna kipindi nilikuwa na marafiki wengi lkn wao wakiwa na shida nawasaidia Ila Mimi nikikwama,sababu km zote,kilichofuata nilianza kuwapunguza Bora niwe na marafiki wawili wa uhakika,lkn sometimes sio lzm utumie connection yako unaweza tumia ya dada yako or mtu yeyote amabae anajuana na mtu flani kufanikisha Jambo lako
 
Pole sana
Mimi nina marafiki mpaka wengine nataka niwakimbie
I guess kua na watu wachache sahihi wanakuelewa, mnaoweza kukaa pamoja na kuelewana ni sahihi kuliko kua na kundi la marafiki wanaochosha.
Hata hapa ni sehemu sahihi ya kupata marafiki, ila just be CAREFUL[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Upo sawa kabisa kuwa hivyo ulivyo
Ila kama unafanya biashara fanya namna upate interactions na watu maana ndipo utapata wateja
Ila pia biashara yako kama inahitaji kupata wateja ambao wapo around
Jichanganye kidogo
Post status,shirikisha watu wa karibu yaani Familia au college mates
Sometimes kuwa peke yako inaweza changia kupata depression au tabia hatarishi kama mastubation jitahd kuwa social kidogo...hata connection za kazi huja kwa kujichanganya na watu
 
😍
 
Asante babe, wanaume waaminifu wamepotea kabisa.
nawewe unaamini hayo?
Ni kama hawapo,, uchague kuchepukiwa kwa heshima na wengi tuko hapo au kama roho ndogo achana na mapenzi kabisa yani jitoe, ila kumpata mwanaume wa kiafrika anaetokea Tanzania wako peke yako😂😂 hata kamari ina uhakika wa kupata
tupoooo ila hatuna hela
Ke tuna nafuu ila nyie fyeeee siwezi kuwalia yamini
hakuna upande wenye unafuuni mwendo wa kusagiana kunguni
Pole sana
Mimi nina marafiki mpaka wengine nataka niwakimbie
I guess kua na watu wachache sahihi wanakuelewa, mnaoweza kukaa pamoja na kuelewana ni sahihi kuliko kua na kundi la marafiki wanaochosha.
Hata hapa ni sehemu sahihi ya kupata marafiki, ila just be CAREFUL[emoji23][emoji23][emoji23]
hao unaotaka kuwakimbia fanya unipe, alafu wewe !!!!
 
Back
Top Bottom