Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
zamani? ipi hiyo ?Acha kuringa utatoboa wallah
Zamani nilikuwaga km wewe
Toka kwenye hiyo zone ya kujikuta miss indoor... unapishana na fursa.
msalimie sana Lenie mwambie mie sijambo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
zamani? ipi hiyo ?Acha kuringa utatoboa wallah
Zamani nilikuwaga km wewe
Toka kwenye hiyo zone ya kujikuta miss indoor... unapishana na fursa.
Darlin huyu nae baki nae tu kama ndio hivi 😂Lete namba tukupigie. Simu kutokupigwa sku 5 hiyo ni balaa. Huna BF, huna friend? Unamliliaga nani stress zzako? Huna hata wawili?? Girl unaweza kuwa tatizo, jichunguze.
Itakua zamani za kale😅
AsanteKuwa Mtu wa kwenda ibadani kila wakati sehemu za ibada ni sehemu nzuri kutengeneza networks maana pale watu wengi waliofanikiwa upenda kwenda kumshukuru Mungu kwa kuwafanyia Jambo na wengine kusali kawaida tu.
Pia Sehemu za starehe nenda Sehemu zenye utulivu Kama Kilimanjaro hotel hapo utaanza Kupata sura mpya pia kuwa mtu wa kusalimia watu usisubiri wao wakuanze .
Bf sio kila kitu.. 🤣🤣 anaweza kuwa kitunguuSina boyfriend😕
nakazia.tupoooo ila hatuna hela
Kwanza unatakiwa kujua hili, unaweza kuwa na watu wengi lakini wasiwe na msaada kwako...Hellow Guys!
Hope mnaendelea vizuri.
It’s “Ms Eyes” again.
Sorry naombeni ushauri ni kwa namna gani naweza kuongeza idadi ya watu as you all know dunia ya sasa hivi bila connections ni ngumu sana kutoboa na hizo connection huwa zinatoka kwa watu. Can you all imagine sina hata watu 90 kwenye mzunguko wangu wa maisha.
Mimi ni aina ya wale watu ambao napata shida ku interact na watu, ni ngumu sana kumzoea mtu, siwezi kukaa kwenye mkusanyiko wa watu wengi. Mara nyingi huwa nipo ndani haswa kama sina shughuli ya kufanya kwa siku hiyo au wakati huo.
Napata shida sana haswa kwa kipindi hichi ambacho nahitaji kazi, nilijaribu kufanya biashara ya kukopesha lakini sikuiweza kwasababu huwa sipendi kuongea na kugombana na watu, hata hivyo nilikuwa napata wakati mgumu kwasababu sikuwa na watu wengi wa kuwatembezea bidhaa zangu.
Marafiki ndio kabisa sina, napitia changamoto nyingi sana sina hata mtu wa kuongea nae au wa kunipa mawazo tofauti ili niweze kuwa sawa kwa kiasi fulani. Simu yangu inaweza isipigwe kwa muda hata wa siku tano[emoji23][emoji174].
NIKO HAPA KUPOKEA USHAURI WENU WAKUU. Ningependa kupewa majibu positive ili nisiendelee kuvunjika moyo though kuna watu wapo watanijibu negative.
HAPPY ENDING WEEKEND Y’ALL.[emoji7]
Karibuni!
Yes, kila muda anakutoa machozi😂, kitunguu?
Back in 2018,2019,2020 huko
Hii paragraph ya mwisho tunakemea mapepo yashindwe 😂😂Back in 2018,2019,2020 huko
Nilikuwa naringa 🤣🤣
Najikuta siwezi jimix na watu 😂😂
Najiona miss indoor
Nilikuwa napata watu/ marafiki nashindwa kuwakeep
2021. Nikaanza kutoka kwenye ile zone, nikaacha kuwa categorize watu, kunata kukaniisha. nina hakika miaka niliyokuwa nayo 2020 ndiyo anayo Miss macho now. Akatae
Aiii now nina watu
Ambao hata nisipowapigia wao watanipigia
Siwezi kaa siku nzima sijapigiwa
Na kuna wale wanaweza jileta wawe friends
Kumbe wanakuja kukujua mimacho ni nani
Uwe makini 🤣🤣🤣 Ms eyes
lakini viwanja ulikua unaenda??Back in 2018,2019,2020 huko
Nilikuwa naenda penye migahawa labda 😄 ila vile vyako hapana.lakini viwanja ulikua unaenda??
usijiupgrade Kwa kiwango kikubwa sana jua tu mipaka Yako
Na yateketee yasibaki hata jivu 🤣🤣🤣Hii paragraph ya mwisho tunakemea mapepo yashindwe 😂😂
Kanisani??? Labda km kwenye shughuli za kikanisa.kanisani ni sehemu nzuri ya kuanza kuzoeana na watu,
kanisani si unaenda??