Mazungumzo nisiyopenda kuskia kutoka kwa mwanaume ni,,,kujifisifia kulikopitiliza! its real boring.....
Will be back for another list...:israel:
Hahahaha!!!!
Mkuu kwa post hii naenda badili signature yangu sasa hivi................................TWANGA KOTEKOTE..............................
Kuna mdada aliniambia yeye anapenda mwanaume anayekoroma ila sio asiwe anakoroma sanaKuna maneno mengi sana as well as many themes... Na hii naizungumzia kwa wanaume woote wanao husika. Sipendi naneno au themes zinazohusiana na wanawake zikiwa na lengo za kukejeli, dhihaki, dharau uwezo na uwelewa wa mwanamke... Wanaume wakae wakijua nchi yetu hii ni nchi ya mfumo dume toka ilianza mpaka ilipo. Ni juzi tu wanawake wameanza kujitambua na kujihusisha katika mambo ya jamii - na ni wachache saana wameweza fanikiwa hilo. Hivyo basi anatokea mwanaume mwenye uelewa na asiye na uelewa na kunza kumdharau mwanamke kwa matendo na maneno wakisahau kua hizo confidence na positions ni mama zao waliwezesha; na pia kusahau kua dada zao bado wanasafari ndefu mpaka woote wapate uelewa na kujitambua....
Hii statement ya akili ya wanawake bwana!.... Hata niwe wapi, hata uwe na wadhifa gan, hata kama siruhusiwi kukohoa - I dont leave that room mpaka nikupashe na ni defend uwepo wetu wamama...
Kuna maneno mengi sana as well as many themes... Na hii naizungumzia kwa wanaume woote wanao husika. Sipendi naneno au themes zinazohusiana na wanawake zikiwa na lengo za kukejeli, dhihaki, dharau uwezo na uwelewa wa mwanamke... Wanaume wakae wakijua nchi yetu hii ni nchi ya mfumo dume toka ilianza mpaka ilipo. Ni juzi tu wanawake wameanza kujitambua na kujihusisha katika mambo ya jamii - na ni wachache saana wameweza fanikiwa hilo. Hivyo basi anatokea mwanaume mwenye uelewa na asiye na uelewa na kunza kumdharau mwanamke kwa matendo na maneno wakisahau kua hizo confidence na positions ni mama zao waliwezesha; na pia kusahau kua dada zao bado wanasafari ndefu mpaka woote wapate uelewa na kujitambua....
Hii statement ya akili ya wanawake bwana!.... Hata niwe wapi, hata uwe na wadhifa gan, hata kama siruhusiwi kukohoa - I dont leave that room mpaka nikupashe na ni defend uwepo wetu wamama...
Kuna mdada aliniambia yeye anapenda mwanaume anayekoroma ila sio asiwe anakoroma sana
Hivi Asha bado haujaanza kufanya recruitment kuhisi lile hitaji langu, deadline karibia inafika lolSimlaumu (it may be used for the purpose of special scenarios).. But siamini kua anataka huo ukoromaji uwe unam degrade.....
Well noted Asha D.....Respect ni zawadi kubwa unayoweza kumpa mtu *(sio mwanamke tu) na inayodumu mioyoni zaidi ya zawadi zote...this is the best winning strategy kwa kusema ukweli..............Hope tutabadilika na kuelewa kwamba you worthy of our respect kama vile ambavyo tumekuwa tuki-demand respect from you
Ahsante Asha D
Hivi Asha bado haujaanza kufanya recruitment kuhisi lile hitaji langu, deadline karibia inafika lol
Siwezi kuacha kujisifia ila nitapunguza:israel::israel::israel:lol hapo najua utanipenda
Nakuaminia najua wewe unafanya kazi kama Magufuli lolDont worry TF, sipendi kufanya vitu kwa kubahatisha, kila kitu kiko in process na end result itakua astounding mpaka whether you like it or not utani reward ile mbaya...
Ni fursa kwa wakina dada na wakina mama, uwanja wenu
Personally (sijui kama wapo na wengine) ningependa kufahamu ni aina gani ya mazungumzo (Neno au theme yenyewe) ambayo mara nyingi (kama sio mara zote) hupendi kuisikia kutoka kwa mumeo au mpenzi wako wa kiume?
Ni nini mara nyingi unapenda kukisikia kutoka kwake (neno au theme)?
Tusaidieni tufahamu
Hivi yule mbwa tuliyemuagiza dereva ameenda kumpokea airport, walisema anakuja na ndege ya saa nane nilimkatia tiketi ya first classsitaki uache kujisifu ndo maana nikasema kujisifu kuliko pitiliza..kweli inachefua!otherwise kukupenda nakupenda lkn jirekebishe..
Hahahaha!!! Maneno Kuntu hayaKama nimekuelewa vizuri unamaanisha ni nini nisichopenda kukisikia au ni topic gani nisopenda kuisikia kutoka kwa mume wangu................. Discussion juu ya EX zake au wake.........iwe mbaya iwe nzuri (What has been burried should remain where it is). Kuna wanaume wengine yaani kila ufanyacho utasikia '....angekuwa Rose hapa angefanya hivi' Sipendi.
Nakuaminia najua wewe unafanya kazi kama Magufuli lol
Hahahaha!!! Maneno Kuntu haya
Waiting anxiously for the outcomeYou saying that .... I'M :humble:'ED
Kama nimekuelewa vizuri unamaanisha ni nini nisichopenda kukisikia au ni topic gani nisopenda kuisikia kutoka kwa mume wangu................. Discussion juu ya EX zake au wake.........iwe mbaya iwe nzuri (What has been burried should remain where it is). Kuna wanaume wengine yaani kila ufanyacho utasikia '....angekuwa Rose hapa angefanya hivi' Sipendi.
Tashtiti unajua kitu Brazil wewemmmh kuntu ndo nn sasa khaaaaaaaaaa:A S-baby::A S-baby::A S-baby::A S-baby: