Kuna maneno mengi sana as well as many themes... Na hii naizungumzia kwa wanaume woote wanao husika. Sipendi naneno au themes zinazohusiana na wanawake zikiwa na lengo za kukejeli, dhihaki, dharau uwezo na uwelewa wa mwanamke... Wanaume wakae wakijua nchi yetu hii ni nchi ya mfumo dume toka ilianza mpaka ilipo. Ni juzi tu wanawake wameanza kujitambua na kujihusisha katika mambo ya jamii - na ni wachache saana wameweza fanikiwa hilo. Hivyo basi anatokea mwanaume mwenye uelewa na asiye na uelewa na kunza kumdharau mwanamke kwa matendo na maneno wakisahau kua hizo confidence na positions ni mama zao waliwezesha; na pia kusahau kua dada zao bado wanasafari ndefu mpaka woote wapate uelewa na kujitambua....
Hii statement ya akili ya wanawake bwana!.... Hata niwe wapi, hata uwe na wadhifa gan, hata kama siruhusiwi kukohoa - I dont leave that room mpaka nikupashe na ni defend uwepo wetu wamama...