What story dont you like to hear from Men?

Hivi yule mbwa tuliyemuagiza dereva ameenda kumpokea airport, walisema anakuja na ndege ya saa nane nilimkatia tiketi ya first class

kwanza hebu nitake radhi kabla cjakunyang'anya share zako huku,mm na mbwa wapi na wapi!
 
kwanza hebu nitake radhi kabla cjakunyang'anya share zako huku,mm na mbwa wapi na wapi!
:lol::lol::lol::lol::lol: Nisamehe mama mimi mkosaji nisije filisiwa bure hata hizo share ndogo zilizobaki nazo ukaninyang'anya.
 
It wont be a long wait... But i think nawee u-play part yako. Mshauri your elder aache kua too demanding, inanifanya nisiwe na mda wa ziada for ratiba kidogo imekua ngumu... Ndio na enjoy lakini....
Nitamwambia for the time being he should step aside, i will play my part anything you want to know and ask from me let me know
 
Aisee the Finest, WL na Asha D ntawapiga Ban kwa kututoa nje ya Maada..............

BACK TO TOPIC PLZ..............
 
Nimekupata....mmmh, sijui huwa ni kupitiwa au! ....anyway, bad lucky ni kuwa "You are not Rose"

Yeah You can say that again................ and sometimes utakuta the guy spend a lot of time blaming that 'Rose' of his yaani anataka kukufanya ujione wewe ni bora na anaregret kukutana na huyo 'Rose' kwanza kabla yako..........wanasahau kuwa teh only message we anre getting ni kuwa .....he is still into 'Rose'..................phweee :israel:
 
Nitamwambia for the time being he should step aside, i will play my part anything you want to know and ask from me let me know

Good.. But asi step aside kabisa, yani kidogo tu - ngoja nizunguke banda la uani kwa ajili ya maswali...lol
 
Yeah, this is the message real.....nakuelewa kwa sababu nilikuwa mhanga sana wa hili nikidhani najijengea credential zangu zaidi kwa kumuonesha kuwa yeye ni bora zaidi and am happy to have her kwa kuwa ni special zaidi ya ex wangu.......

duh, kumbe nilikuwa naongeza Sukari kwenye Asali ili kuinogesha na matokeo yake nilikuwa namuumiza mlaji
 
Halafu wamama/wadada wengi huwa hawasemi/hawaambii waenzi/wapenzi wao what they don't like to hear kwa kuwa waogopa kuachwa that's one of the reason.
 
Halafu wamama/wadada wengi huwa hawasemi/hawaambii waenzi/wapenzi wao what they don't like to hear kwa kuwa waogopa kuachwa that's one of the reason.

Mkuu hapo kwenye kuogopa kusema ni sehemu ya kuendelea kwa tatizo lililopo

Katika hili naona matatizo mawili makuu

1. Ladies hawasemi bali hukenua na kumfanya mwanaume aone Yes, hapa ni penyewe hapa....
2. Wanaume wakiambiwa huwa wanang'aka na kuacha kutorudia tena

So ni pande zote kufanya inavyostahili.........A lady must be strong and speak out her emotions and feelings and Men must accept the feelings/emotions of his partner and stop fumbling.....at least will serve kwa maana hakuna faida sana katika hili zaidi ya kumuumiza mwingine
 
eeeeeeenhe endelea,nakusikiliza.......
 
I beg to differ AshaD,hii stereotyping nanyi kinamama mnatufanyia tena kwa sana,si kila siku mnasema sisi wanaume ni kama fisi maji kokote tutatumbukiza nonino zetu,au sio nyie mnasema?
 
It wont be a long wait... But i think nawee u-play part yako. Mshauri your elder aache kua too demanding, inanifanya nisiwe na mda wa ziada for ratiba kidogo imekua ngumu... Ndio na enjoy lakini....

what else would a baby gal like you like from a MAN....LOL:israel:
 
Si angeenda kwa huyo Rose? Hii inakera haswa!

Bado yule ambaye kila mnachoongea akamuulize mama yake! Kiasi kwamba ukishauri kitu utasikia, 'ngoja ntacheki na mama'.Hapa nachoka kabisa. Akina baba, trust me, hii biashara ndio mnafanya gap kati ya wake zenu na mama zenu linakuwa kubwa kila kukicha.
 
I beg to differ AshaD,hii stereotyping nanyi kinamama mnatufanyia tena kwa sana,si kila siku mnasema sisi wanaume ni kama fisi maji kokote tutatumbukiza nonino zetu,au sio nyie mnasema?

Bishanga acha sisi akina dada wa mjini ambao tumeota mabawa na hamtudanganyi kwa lolote sababu wanawake wadanganyaji nao ni lukuku (na hao ndo hujastify such stereo typing kutetea kutokuwa na uaminifu kwa wenza) ... En ways Bishanga hii issue bado nikubwa sana huko vijini, mawilayani, etc Hao wanakua more affected.

Bishanga rafiki pleeeease kubaliana namimi.... mana kama ukubaliani naona ni wakati ule wa kuanza kujidefend as a woman....
 
what else would a baby gal like you like from a MAN....LOL:israel:

Sweet K, naogopa kusema yalo moyoni maana nitapigwa BAN!...En ways acha kujibalaguza na uniambie maneno gani mabaya unayo ongea wakati wadada hatupo ???
 
Tumekuwa na ile hulka wote wanaume/wanawake kwamba ukimwambia mtu fulani haupendi kitu fulani unakuwa unaogopa kuwa atajisikia vibaya, kama alivyosema MwanajamiiOne hata mimi ile tabia ya mtu kuanza kuniambia "Sijui angekuwa John au Edward yaani hili suala angekuwa ameishanifanyia" hii kitu huwa inakera sana
 
Ntafute nnakufaa kabisa manake ni kigezo kimoja tu ndo ntashindwa kukitimiza-mimi ni mwanamme mwenye dharau hasa kwa wanawake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…