mmmh haya we kweli mapenzi yana run dunia
Mi napenda kumskikia akinisifia nimependeza,ninampikia chakula kizuri,mm mzuri (naamini hakuna mwanamke mbaya),anapenda nikimnyoshea nguo zake,anapenda navyonukia,anapenda mechi zetu za mchangani lol:A S-baby::A S-baby::A S-baby::bange::bange::bange:
SIPENDI MWANAMME ANIITE"WE MWANAMKE"
sipendi mwanamme mchafu(harufu ya jasho,zo kunajasho lile linanukia vizuri but kuna hili lingine hili mmmh)
Sipendi mwanamme mlevi kupindukia(awe mnywaji kiasi)
Sipendi mwanamme asofanya kazi ajishughulishe japo mkono uende kinywani,(japo baba arudi hme na kipande cha samaki)
Sipendi mwanamme anopenda maisha ya kucopy na kupaste eti coz rafiki yake yuko hivi na ss(mm na yy tuwe hivyo)
Sipendi mwanamme MMBEA
sipendi mwanamme mwenye dharau hasa kwa wanawake
Sipendi mwanamme asomsaidia mkewe hata kuangalia homework za watoto
Sipendi mwanamme aniombe TIGO agrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrr(huyu shetani simtaki kabisaaaaaaaaaaaaaa)
NTARUDI BADAE NA SIPENDI!