Bado wanatawaliwa na westener kiuchumi na kifikraNimekuwa nikisikia neno Nairobi kwenye movies and series nyingi sana za western na nadhani pia na nyie mtakubaliana na mimi kuhusu hili.
Swali langu ni kwanini Nairobi mara nyingi na sio jiji jingine la Africa?..Kuna Lagos,Cairo,Capetown,Dar es Salaam,Luanda,Johannesburg,Dakar na mengine mengi..why Kanairo?
View attachment 2689992
Wanajitangaza saana tu. Nothing special.Nimekuwa nikisikia neno Nairobi kwenye movies and series nyingi sana za western na nadhani pia na nyie mtakubaliana na mimi kuhusu hili.
Swali langu ni kwanini Nairobi mara nyingi na sio jiji jingine la Africa?..Kuna Lagos,Cairo,Capetown,Dar es Salaam,Luanda,Johannesburg,Dakar na mengine mengi..why Kanairo?
View attachment 2689992
Kwanza mbona hata Zanzibar inatajwa sana?Nimekuwa nikisikia neno Nairobi kwenye movies and series nyingi sana za western na nadhani pia na nyie mtakubaliana na mimi kuhusu hili.
Swali langu ni kwanini Nairobi mara nyingi na sio jiji jingine la Africa?..Kuna Lagos,Cairo,Capetown,Dar es Salaam,Luanda,Johannesburg,Dakar na mengine mengi..why Kanairo?
View attachment 2689992
Leave aside hili la Waingereza kuichagua Kenya,Falsafa za Mwalimu kuhusu uchumi zimetudumaza pia?Kwanza mbona hata Zanzibar inatajwa sana?
Kuna watu wanapenda sehemu hata kwa jina tu.
Pili, Kenya ilikuwa ni koloni la Waingereza ambalo walilitayarisha kuwa kama Australia ya Africa. Walitaka ma settlers wa Uingereza waje kuhamia Kenya kimoja.
Ndiyo maana mpaka leo uchumi wa Kenya hulinganishi na wa Tanzania, kilimo, viwanda etc.
Angalia wanariadha wa Kenya wanavyopata international endorsements kwa sababu ya kujipanga vizuri tu, halafu angalia wanariadha wa Tanzania upande wa pili wa mpaka tu wanavyoshindwa kujipanga, hawa ni watu ambao ki baiolojia na ki genetic wako karibu sawa, tofauti ni business culture ya nchi tu.
Mpaka leo, regional headquarters za makampuni mengi ya kimataifa zipo Kenya.
Tatu,
Wakenya waponseruois kwenye biashara. Wana business culture inayieleweka kwa watubwa magharibi, sisi Tsnzania ambao tulitakiwa tuwe wapinzani wao tumelemazwa na Ujamaa. Ndiyo maana mpaka leo Tanzanite inaoatikana Tanzania tu, lakini inauzwa sana Kenya na India.
Benjamin Fernandez, Mtanzania aliyeanzisha mfumo wa malipo kimtandao wa NALA, alikuja Tanzania akataka kuweka makao makuu ya biashara zake Tanzania, akapata mpaka support ya rais, rais akasema atamsaidia kwa lolote analotaka. Lakini serikali ya Tanzania imem frustrate sana Benjamin mpaka akaenda kuanzisha makao makuu yake Nairobi. Maana yake analipa kodi Kenya badala ya Tanzania.
Ukiangalia "Ease of Doing Business" reports utaona kitu kinachotumia siku chache, au wiki chache Kenya, Tanzania kinachukua miezi. Wametupita mbali sana hapo Wakenya.
Nimetaja hapo kuwa Ujamaa umetudumaza. Ujamaa ni imani ya kidini, si ya kiuchumi.Leave aside hili la Waingereza kuichagua Kenya,Falsafa za Mwalimu kuhusu uchumi zimetudumaza pia?
Roger that..Nairobi ni half London kabla hujaenda huko kwa wazungu hakikisha umepita Nairobi utoe tongo tongo
Ujamaa na Ccm vimetukosesha mambo mengi sana
Kigali ni ndogo sana kwa Nairobi kuanzia ukubwa wa eneo majengo na vingine ila kwa usafi Kigali ipo juu sana
Aiseee nilienda juzi eeeee....I have some pictures.....hapana aiseee.pa kawaida mnoooo zaidi ya Sana.i was disappointed....Wanajitangaza saana tu. Nothing special.
My dear....labda Kwa vile nilienda kibiashara sio kutaliii...Nairobi ni half London kabla hujaenda huko kwa wazungu hakikisha umepita Nairobi utoe tongo tongo
Ujamaa na Ccm vimetukosesha mambo mengi sana
Kigali ni ndogo sana kwa Nairobi kuanzia ukubwa wa eneo majengo na vingine ila kwa usafi Kigali ipo juu sana
Tumewafikia kimajengo..Aiseee nilienda juzi eeeee....I have some pictures.....hapana aiseee.pa kawaida mnoooo zaidi ya Sana.i was disappointed....
Maana nilikua na picha kubwa sana na matarajio
Kwanza mbona hata Zanzibar inatajwa sana?
Kuna watu wanapenda sehemu hata kwa jina tu.
Pili, Kenya ilikuwa ni koloni la Waingereza ambalo walilitayarisha kuwa kama Australia ya Africa. Walitaka ma settlers wa Uingereza waje kuhamia Kenya kimoja.
Ndiyo maana mpaka leo uchumi wa Kenya hulinganishi na wa Tanzania, kilimo, viwanda etc.
Angalia wanariadha wa Kenya wanavyopata international endorsements kwa sababu ya kujipanga vizuri tu, halafu angalia wanariadha wa Tanzania upande wa pili wa mpaka tu wanavyoshindwa kujipanga, hawa ni watu ambao ki baiolojia na ki genetic wako karibu sawa, tofauti ni business culture ya nchi tu.
Mpaka leo, regional headquarters za makampuni mengi ya kimataifa zipo Kenya.
Tatu,
Wakenya waponseruois kwenye biashara. Wana business culture inayieleweka kwa watubwa magharibi, sisi Tsnzania ambao tulitakiwa tuwe wapinzani wao tumelemazwa na Ujamaa. Ndiyo maana mpaka leo Tanzanite inaoatikana Tanzania tu, lakini inauzwa sana Kenya na India.
Benjamin Fernandez, Mtanzania aliyeanzisha mfumo wa malipo kimtandao wa NALA, alikuja Tanzania akataka kuweka makao makuu ya biashara zake Tanzania, akapata mpaka support ya rais, rais akasema atamsaidia kwa lolote analotaka. Lakini serikali ya Tanzania imem frustrate sana Benjamin mpaka akaenda kuanzisha makao makuu yake Nairobi. Maana yake analipa kodi Kenya badala ya Tanzania.
Ukiangalia "Ease of Doing Business" reports utaona kitu kinachotumia siku chache, au wiki chache Kenya, Tanzania kinachukua miezi. Wametupita mbali sana hapo Wakenya.
Uje mtaala mpya..Umeongea vyote sawa kuna hili la wakenya "kuabudu Sana wazungu"..
Waajiriwa wa Kikenya huwa waaminifu Sana wanapoajiriwa na Wazungu.....
Wabongo Ile culture ya Ujamaa na kujitegemea imepelekea pia tuwe
"Masikini jeuri"...hatuwababaikii wazungu Sana na tuna culture ya "kuiba kazini "very very unique
Mtu anaajiriwa haulizi mshahara..anauliza wenzie "hapa mnaishi vipi"... culture ilianzia mashirika ya umma sasa imekuwa kila sehemu....mgeni akileta kampuni Tz anapaswa kuwa makini mno na kila mtu...dereva ataiba mafuta... secretary ataiba karatasi...etc ..
Sio kweli Nairobi ni Jiji kubwa Mjini sio pa kawaida kama unavyopazungumzia...mimi nimeenda majiji mengi Duniani ila Nairobi nawapa Sifa yao ya uzuri...My dear....labda Kwa vile nilienda kibiashara sio kutaliii...
Mi naona hata sisi Bado tupo vizuri mnooo
Kivipi ujamaa ni imani ya kidini? Wanamuabudu nani mkuu?Nimetaja hapo kuwa Ujamaa umetudumaza. Ujamaa ni imani ya kidini, si ya kiuchumi.
Umedadavua vyema sanaKwanza mbona hata Zanzibar inatajwa sana?
Kuna watu wanapenda sehemu hata kwa jina tu.
Pili, Kenya ilikuwa ni koloni la Waingereza ambalo walilitayarisha kuwa kama Australia ya Africa. Walitaka ma settlers wa Uingereza waje kuhamia Kenya kimoja.
Ndiyo maana mpaka leo uchumi wa Kenya hulinganishi na wa Tanzania, kilimo, viwanda etc.
Angalia wanariadha wa Kenya wanavyopata international endorsements kwa sababu ya kujipanga vizuri tu, halafu angalia wanariadha wa Tanzania upande wa pili wa mpaka tu wanavyoshindwa kujipanga, hawa ni watu ambao ki baiolojia na ki genetic wako karibu sawa, tofauti ni business culture ya nchi tu.
Mpaka leo, regional headquarters za makampuni mengi ya kimataifa zipo Kenya.
Tatu,
Wakenya waponseruois kwenye biashara. Wana business culture inayieleweka kwa watubwa magharibi, sisi Tsnzania ambao tulitakiwa tuwe wapinzani wao tumelemazwa na Ujamaa. Ndiyo maana mpaka leo Tanzanite inaoatikana Tanzania tu, lakini inauzwa sana Kenya na India.
Benjamin Fernandez, Mtanzania aliyeanzisha mfumo wa malipo kimtandao wa NALA, alikuja Tanzania akataka kuweka makao makuu ya biashara zake Tanzania, akapata mpaka support ya rais, rais akasema atamsaidia kwa lolote analotaka. Lakini serikali ya Tanzania imem frustrate sana Benjamin mpaka akaenda kuanzisha makao makuu yake Nairobi. Maana yake analipa kodi Kenya badala ya Tanzania.
Ukiangalia "Ease of Doing Business" reports utaona kitu kinachotumia siku chache, au wiki chache Kenya, Tanzania kinachukua miezi. Wametupita mbali sana hapo Wakenya.
Kuwa dini si lazima umuabudu nani, unaweza kuwa na dini ya kuabudu ideas fulani ambazo hazina tija kiuchumi, zimekaa ki utopia na too idealistic.Kivipi ujamaa ni imani ya kidini? Wanamuabudu nani mkuu?