What's so special about Nairobi?

What's so special about Nairobi?

Kwanza mbona hata Zanzibar inatajwa sana?

Kuna watu wanapenda sehemu hata kwa jina tu.

Pili, Kenya ilikuwa ni koloni la Waingereza ambalo walilitayarisha kuwa kama Australia ya Africa. Walitaka ma settlers wa Uingereza waje kuhamia Kenya kimoja.

Ndiyo maana mpaka leo uchumi wa Kenya hulinganishi na wa Tanzania, kilimo, viwanda etc.

Angalia wanariadha wa Kenya wanavyopata international endorsements kwa sababu ya kujipanga vizuri tu, halafu angalia wanariadha wa Tanzania upande wa pili wa mpaka tu wanavyoshindwa kujipanga, hawa ni watu ambao ki baiolojia na ki genetic wako karibu sawa, tofauti ni business culture ya nchi tu.

Mpaka leo, regional headquarters za makampuni mengi ya kimataifa zipo Kenya.

Tatu,

Wakenya waponseruois kwenye biashara. Wana business culture inayieleweka kwa watubwa magharibi, sisi Tsnzania ambao tulitakiwa tuwe wapinzani wao tumelemazwa na Ujamaa. Ndiyo maana mpaka leo Tanzanite inaoatikana Tanzania tu, lakini inauzwa sana Kenya na India.

Benjamin Fernandez, Mtanzania aliyeanzisha mfumo wa malipo kimtandao wa NALA, alikuja Tanzania akataka kuweka makao makuu ya biashara zake Tanzania, akapata mpaka support ya rais, rais akasema atamsaidia kwa lolote analotaka. Lakini serikali ya Tanzania imem frustrate sana Benjamin mpaka akaenda kuanzisha makao makuu yake Nairobi. Maana yake analipa kodi Kenya badala ya Tanzania.

Ukiangalia "Ease of Doing Business" reports utaona kitu kinachotumia siku chache, au wiki chache Kenya, Tanzania kinachukua miezi. Wametupita mbali sana hapo Wakenya.

Kaka 0684914582 ni txt WhatsApp
 
Mfano..

"This virus can spread from New York to Nairobi,London to Moscow etc."

Lakini Serengeti ikitajwa hapo lazima kuna utalii unazungumzwa..tofauti na hapo juu umeona Nairobi imetajwa tu.

Sijui umenipata.
Yap hii ni kweli kabisa 😀
Mkoloni kuna baadhi ya maeneo bado anaenda nao sawa na anayatumia kwa jinsi anavyojua yeye
 
Like serious sister??..
Sure walahi.....kweli....nilienda center kabisaaa Kuna biashara nilifata sehem tatu....nilipanda matatu zao nikazunguka so nilichek chek....jamani zaidi ya Ile express sijaona kitu kikubwa sana.... although Kuna mtu nilimuuuliza akasema umeenda sehem za viwamda/magodwn....hujaona sehem za ma elites....
Mwezi WA 9 naenda tena....natamani nipate campany nizunguke maana naona kabisa was not enough......sijaona ambacho nilitakiwa kuona ...Sasa ishu kwenye business trip unabana matumizi
 
Kuwa dini si lazima umuabudu nani, unaweza kuwa na dini ya kuabudu ideas fulani ambazo hazina tija kiuchumi, zimekaa ki utopia na too idealistic.

Ujamaa unasisitiza sana usawa wa binadamu badala ya kusisitiza kueneleza uchumi, katika namna ambayo si realistic na inadumaza maendeleo ya kiuchumi.

Ndiyo sababu uchumi wetu umedumaa kupita Kenya, licha ya sisi kupewa misaada kuliko wao.
Shukrani mzee.
je kuabudu idea kunatosha kuwa dini? Kuabudu(ibada) ni nini?
Je ubepari nayo ni dini,
Kama hapana, kwanini iswe dini na hali watu wanaabudu hiyo idea?
 
Shukrani mzee.
je kuabudu idea kunatosha kuwa dini? Kuabudu(ibada) ni nini?
Je ubepari nayo ni dini,
Kama hapana, kwanini iswe dini na hali watu wanaabudu hiyo idea?
Kuabudu kwenyewe ni dini.

Dini zote ni kuabudu ideas tu.

Kuabudu ni kukipa kitu hadhi fulani iliyo beyond reproach, unquestionably so.

Ubepari si dini, kwa sababu uko based on acknowledging some basic realities of life, unakubali inequality, unakubali nguvu za demand na supply, uko realistic more than idealistic.

Kwa hivyo ni vigumu kwa mtu kuabudu ubepari kama dini, ingawa hilo linawezekana pia.Ukiabudu ubepari utaishia kuwa selfish tu, ni vigumu kujenga dini ambayo iko based on one being overly selfish, kwa sababu dini mara nyingi ni kitu collaborative katika jamii.

Ila Ujamaa na Ukomunisti ni rahisi sana kuwa kama dini, misingi yake imekaa kidini dini, vinataka kuleta usawa wa watu wote katika dunia ambayo hata vidole havilingani usawa, hizi itikadi zina ignore forces za demand and supply, mambo ya incentive na individualistic nature of human beings.

Ni kama vike hizi ni itikadi zilizotungwa baada ya watu kutaka kufuta dini na kutaka kuanzisha kitu kama dini lakini kilichoanzishwa na watu, kwa ajili ya watu. Ukisoma enlightenment, Fabian Society na Karl Marx utaona hayo.

Ukoministi, kaka mkubwa wa Ujamaa, ndiyo kabisa kaenda mbali mpaka katakankufuta dini iki azi replace sehemu kama Soviet Union, na kashindwa.
 
Kwanza mbona hata Zanzibar inatajwa sana?

Kuna watu wanapenda sehemu hata kwa jina tu.

Pili, Kenya ilikuwa ni koloni la Waingereza ambalo walilitayarisha kuwa kama Australia ya Africa. Walitaka ma settlers wa Uingereza waje kuhamia Kenya kimoja.

Ndiyo maana mpaka leo uchumi wa Kenya hulinganishi na wa Tanzania, kilimo, viwanda etc.

Angalia wanariadha wa Kenya wanavyopata international endorsements kwa sababu ya kujipanga vizuri tu, halafu angalia wanariadha wa Tanzania upande wa pili wa mpaka tu wanavyoshindwa kujipanga, hawa ni watu ambao ki baiolojia na ki genetic wako karibu sawa, tofauti ni business culture ya nchi tu.

Mpaka leo, regional headquarters za makampuni mengi ya kimataifa zipo Kenya.

Tatu,

Wakenya wapo seruois kwenye biashara. Wana business culture inayoeleweka kwa watu wa magharibi, sisi Tanzania ambao tulitakiwa tuwe wapinzani wao tumelemazwa na Ujamaa. Ndiyo maana mpaka leo Tanzanite inapatikana Tanzania tu, lakini inauzwa sana Kenya na India.

Benjamin Fernandez, Mtanzania aliyeanzisha mfumo wa malipo kimtandao wa NALA, alikuja Tanzania akataka kuweka makao makuu ya biashara zake Tanzania, akapata mpaka support ya rais, rais akasema atamsaidia kwa lolote analotaka. Lakini serikali ya Tanzania imem frustrate sana Benjamin mpaka akaenda kuanzisha makao makuu yake Nairobi. Maana yake analipa kodi Kenya badala ya Tanzania.

Ukiangalia "Ease of Doing Business" reports utaona kitu kinachotumia siku chache, au wiki chache Kenya, Tanzania kinachukua miezi. Wametupita mbali sana hapo Wakenya.

[QUOTE="Kiranga, post: 47158696, ...aliweza kuweka alama hii ya historia [/QUOTE]
 
Umeongea vyote sawa kuna hili la wakenya "kuabudu Sana wazungu"..
Waajiriwa wa Kikenya huwa waaminifu Sana wanapoajiriwa na Wazungu.....
Wabongo Ile culture ya Ujamaa na kujitegemea imepelekea pia tuwe
"Masikini jeuri"...hatuwababaikii wazungu Sana na tuna culture ya "kuiba kazini "very very unique
Mtu anaajiriwa haulizi mshahara..anauliza wenzie "hapa mnaishi vipi"... culture ilianzia mashirika ya umma sasa imekuwa kila sehemu....mgeni akileta kampuni Tz anapaswa kuwa makini mno na kila mtu...dereva ataiba mafuta... secretary ataiba karatasi...etc ..
Wakenya katika kazi za umma ni wezi zaidi ya Watanzania.
 
Ukoloni wa Kenya ulikuwa wa ki settlers zaidi, waliwekeza sana wakati wa ukoloni mpaka leo kuna wazungu wanamiliki ardhi za kutisha Kenya. Hata kuondoka kwa wazungu Kenya ilikuwa kwa mbinde sana, rejea ishu ya maumau.

Wakati wa vita baridi Kenya wao waliamua kujiunga na West na kubaki katika ubepari. Haikuingia katika siasa za ujamaa.

Lugha ya Kingereza nayo inawebeba sana, Kiswahili sio lugha inayozungumzwa sana nje ya Africa Mashariki.

Serikali zote za Kenya zimekuwa wanaheshimu sana property rights na uwekezaji binafsi. Kenya sio rahisi serikali kuingilia mali au biashara binafsi kwa sababu ya siasa. Kuna watu walikwapua ardhi wakati wa uhuru lakini hawajawahi kunyang'anywa mpaka leo. Odinga alivyokuwa mpinzani wa serikali kwa miaka yote asingeweza kufanya biashara na kuwa na ukwasi mkubwa kama alio nao leo ingekuwa nchi nyingine za Africa Mashariki.

Pia Kenya wameweza kutumia rasilimali chache walizo nazo kwa ufanisi zaidi na pia kutumika kama kituo cha biashara na magendo ya rasilimali za madini kutoka nchi nyingine nyingi za Africa. Kuna kitu huwa kinaitwa laana ya rasilimali ambayo hupata nchi nyingi zenye rasilimali nyingi, huenda Kenya kutokuwa na rasilimali nyingi pia wameepuka hilo na kujikita zaidi katika biashara.
 
Utakuwa umeishia kitengela wewe.... nairobi imeipitq dar es salaam by far . Pata muda uzunguke utakuja kurudi hapa kufuta kauli yako
Hahahaha nilienda chechea....na katikat hapo Nairobi.....
Real sikuzunguka....nilienda kwenye mastore tu kufata mzigo....ila naambiwa Kuna side ya ma elites huko kama posta ya Tanzania....
Nakuja huko tena soon nitatafuta mtu anizungushe
 
Kuabudu kwenyewe ni dini.

Dini zote ni kuabudu ideas tu.

Kuabudu ni kukipa kitu hadhi fulani iliyo beyond reproach, unquestionably so.

Ubepari si dini, kwa sababu uko based on acknowledging some basic realities of life, unakubali inequality, unakubali nguvu za demand na supply, uko realistic more than idealistic.

Kwa hivyo ni vigumu kwa mtu kuabudu ubepari kama dini, ingawa hilo linawezekana pia.Ukiabudu ubepari utaishia kuwa selfish tu, ni vigumu kujenga dini ambayo iko based on one being overly selfish, kwa sababu dini mara nyingi ni kitu collaborative katika jamii.

Ila Ujamaa na Ukomunisti ni rahisi sana kuwa kama dini, misingi yake imekaa kidini dini, vinataka kuleta usawa wa watu wote katika dunia ambayo hata vidole havilingani usawa, hizi itikadi zina ignore forces za demand and supply, mambo ya incentive na individualistic nature of human beings.

Ni kama vike hizi ni itikadi zilizotungwa baada ya watu kutaka kufuta dini na kutaka kuanzisha kitu kama dini lakini kilichoanzishwa na watu, kwa ajili ya watu. Ukisoma enlightenment, Fabian Society na Karl Marx utaona hayo.

Ukoministi, kaka mkubwa wa Ujamaa, ndiyo kabisa kaenda mbali mpaka katakankufuta dini iki azi replace sehemu kama Soviet Union, na kashindwa.
Maelezo mazuri, yanazalisha maswali mengi zaidi..
Kwako dini ni nini?
Je lazima dini izungumzie usawa tu?
Vipi mtu anaeabudu ubepari kuliko chochote hiyo si dini yake?
Tofauti ya kuabudu na kuhusudu ni ipi?
 
My dear....labda Kwa vile nilienda kibiashara sio kutaliii...
Mi naona hata sisi Bado tupo vizuri mnooo

Hata kibiashara wapo mbali kuliko sisi jitahidi ukirudi uende siku za weekend na upate mwenyeji akuzungushe unyama sana uzungu mwingi
 
Hahahaha nilienda chechea....na katikat hapo Nairobi.....
Real sikuzunguka....nilienda kwenye mastore tu kufata mzigo....ila naambiwa Kuna side ya ma elites huko kama posta ya Tanzania....
Nakuja huko tena soon nitatafuta mtu anizungushe

Bado sana unatakiwa utenge muda
 
Back
Top Bottom