Isanga family
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 17,080
- 33,076
Mkuu siwezi kulinganisha Washington na Nairobi nachosema kuwa Nairobi wapo vizuri ila kwa wageni wa Safari wao wanataka Nairobi iwe sawa na New York City kitu ambacho sio kweli...ukiona Mbeya ina unafuu isifiwe kwa uwezo wake usilinganishe na London mazee...Vp ukilinganisha nairobi na miji hiyo.