Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We mbna haya unayoyaongelea mabo ya kawaida sana..Umeongea vyote sawa kuna hili la wakenya "kuabudu Sana wazungu"..
Waajiriwa wa Kikenya huwa waaminifu Sana wanapoajiriwa na Wazungu.....
Wabongo Ile culture ya Ujamaa na kujitegemea imepelekea pia tuwe
"Masikini jeuri"...hatuwababaikii wazungu Sana na tuna culture ya "kuiba kazini "very very unique
Mtu anaajiriwa haulizi mshahara..anauliza wenzie "hapa mnaishi vipi"... culture ilianzia mashirika ya umma sasa imekuwa kila sehemu....mgeni akileta kampuni Tz anapaswa kuwa makini mno na kila mtu...dereva ataiba mafuta... secretary ataiba karatasi...etc ..
Mpuuzi hyo..hata nilimshangaa mimiHivi kuibiwa muajiri wako ndio kutoabudu Wazungu?
Hii inaonyesha hujawahi fika Nairobi,vumbi mwanzo mwisho ni huko huko matopeni tanganyika shamba la wakulima wa vijembe vya mkononi.Umeshafika london
Unaiweka london na nairobi kwenye sentensi moja serious
Waafrika huwaga tuna vituko sana
Nairobi haifikii london hata asilimia 1 mkuu
Mfano mdogo jiji la londono kwa asilimia 99 lina paving block au cobblestone njoo nairobi ni vumbi mwanzo mwisho huo ni mfano mdogo sana
London hakuna kibera au mathare slums yaan huwez kuta kuna watu wanaishi kwenye nyumba za mabati kwenye eneo kubwa kama kibera au mathare yaani nairobi asilimia 60 ya wakazi wake wanaishi kwenye slum zilizoizinguka nairobi alafu unalazimisha iko sawa na london
Nairobi hii ya kibera na mathare unasema haina vumbiV
Hii inaonyesha hujawahi fika Nairobi,vumbi mwanzo mwisho ni huko huko matopeni tanganyika shamba la wakulima wa vijembe vya mkononi.
Halafu siku hizi mna viburi nyie sana ilhali Bado sana mpo mpo tu, labda miaka 25 ijayo ndiyo mtaweza fikia hali Kenya iliko Sasa,na hapo Kenya itakua imesonga hatua 100 mbele.
Sijui nani kawadanganya ,sijui ni hiko kijireli Cha ajabu ambacho hakitoweza kukamilika hususan ikumbukwe umeme wenyewe hamna.
Mitanganyoko makelb mahayawan.
Haya ni baadhi ya maene ya nairobi alafu unasema ni nusu ya londonV
Hii inaonyesha hujawahi fika Nairobi,vumbi mwanzo mwisho ni huko huko matopeni tanganyika shamba la wakulima wa vijembe vya mkononi.
Halafu siku hizi mna viburi nyie sana ilhali Bado sana mpo mpo tu, labda miaka 25 ijayo ndiyo mtaweza fikia hali Kenya iliko Sasa,na hapo Kenya itakua imesonga hatua 100 mbele.
Sijui nani kawadanganya ,sijui ni hiko kijireli Cha ajabu ambacho hakitoweza kukamilika hususan ikumbukwe umeme wenyewe hamna.
Mitanganyoko makelb mahayawan.
Nairobi hii au kuna nyingine[emoji23][emoji23]...V
Hii inaonyesha hujawahi fika Nairobi,vumbi mwanzo mwisho ni huko huko matopeni tanganyika shamba la wakulima wa vijembe vya mkononi.
Halafu siku hizi mna viburi nyie sana ilhali Bado sana mpo mpo tu, labda miaka 25 ijayo ndiyo mtaweza fikia hali Kenya iliko Sasa,na hapo Kenya itakua imesonga hatua 100 mbele.
Sijui nani kawadanganya ,sijui ni hiko kijireli Cha ajabu ambacho hakitoweza kukamilika hususan ikumbukwe umeme wenyewe hamna.
Mitanganyoko makelb mahayawan.
Wanaonaga watu wengine ni wajinga sanaKanairo kama London mwanangu..
Wakenya bana..
Ndiyo yeye...Huyu dada kwenye avatar yako sio Betty Kyalo??..
Crush wangu ile mbaya..
Shida ya wakenya ni uchafu, kingine ni ujuaji uliopitiliza, ni kweli wazungu walijitahidi kuwajengea ule mji lkn wao wakashindwa kuendeleza kutokana na ujuaji na kutokuwa wazalendo, unakuta barabara inatengenezwa leo we nenda wiki ijayo utakutana na uchafu wa kila aina. Kingine ni wizi, Kenya kila mtu ni mwizi aisee.Sure walahi.....kweli....nilienda center kabisaaa Kuna biashara nilifata sehem tatu....nilipanda matatu zao nikazunguka so nilichek chek....jamani zaidi ya Ile express sijaona kitu kikubwa sana.... although Kuna mtu nilimuuuliza akasema umeenda sehem za viwamda/magodwn....hujaona sehem za ma elites....
Mwezi WA 9 naenda tena....natamani nipate campany nizunguke maana naona kabisa was not enough......sijaona ambacho nilitakiwa kuona ...Sasa ishu kwenye business trip unabana matumizi
Twende wote basiShida ya wakenya ni uchafu, kingine ni ujuaji uliopitiliza, ni kweli wazungu walijitahidi kuwajengea ule mji lkn wao wakashindwa kuendeleza kutokana na ujuaji na kutokuwa wazalendo, unakuta barabara inatengenezwa leo we nenda wiki ijayo utakutana na uchafu wa kila aina. Kingine ni wizi, Kenya kila mtu ni mwizi aisee.
Nenda tena kwa ajili ya utalii alafu urudi kutueleza hapa.
Ulishawahi kukanyaga Kigali?Nairobi ni half London kabla hujaenda huko kwa wazungu hakikisha umepita Nairobi utoe tongo tongo
Ujamaa na Ccm vimetukosesha mambo mengi sana
Kigali ni ndogo sana kwa Nairobi kuanzia ukubwa wa eneo majengo na vingine ila kwa usafi Kigali ipo juu sana
Umeongea ukweli. Kenya ubabe mwingi,wizi uchafu but anyway tusisahau na lugha inawabeba kwenye movies nyingi .Shida ya wakenya ni uchafu, kingine ni ujuaji uliopitiliza, ni kweli wazungu walijitahidi kuwajengea ule mji lkn wao wakashindwa kuendeleza kutokana na ujuaji na kutokuwa wazalendo, unakuta barabara inatengenezwa leo we nenda wiki ijayo utakutana na uchafu wa kila aina. Kingine ni wizi, Kenya kila mtu ni mwizi aisee.
Nenda tena kwa ajili ya utalii alafu urudi kutueleza hapa.
Mwezi wa Tisa Huu. Uko wapi dada? Ulienda industrial area ukaona umetembea Nairobi? Ama ni zile zenu za 'nimebahatika kufika Nailobi' wakati hata mpakani hujakanyaga.Sure walahi.....kweli....nilienda center kabisaaa Kuna biashara nilifata sehem tatu....nilipanda matatu zao nikazunguka so nilichek chek....jamani zaidi ya Ile express sijaona kitu kikubwa sana.... although Kuna mtu nilimuuuliza akasema umeenda sehem za viwamda/magodwn....hujaona sehem za ma elites....
Mwezi WA 9 naenda tena....natamani nipate campany nizunguke maana naona kabisa was not enough......sijaona ambacho nilitakiwa kuona ...Sasa ishu kwenye business trip unabana matumizi
Hahahahahahaha uwiiiii...ulikua wapo kunipopoa tangu zamani... actually nishaenda more than 3 times kuanzia hiyo siku...Mwezi wa Tisa Huu. Uko wapi dada? Ulienda industrial area ukaona umetembea Nairobi? Ama ni zile zenu za 'nimebahatika kufika Nailobi' wakati hata mpakani hujakanyaga.
Compare Nairobi's Industrial area with Dar's Industrial area and give us the report.Hahahahahahaha uwiiiii...ulikua wapo kunipopoa tangu zamani... actually nishaenda more than 3 times kuanzia hiyo siku...
Ukweli nimeenda industrial area both times
Kila sehem Ina uzuri wake na ubaya wake my dear...Compare Nairobi's Industrial area with Dar's Industrial area and give us the report.