Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 78,790
- 128,275
Hata facts zina battle per Godel's Incompleteness Theorems.Hakuna battle hapa, just facts.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata facts zina battle per Godel's Incompleteness Theorems.Hakuna battle hapa, just facts.
Facts tupu,
Mimi hapa sikujibu kitu chochote🤣Facts tupu,
No Battle
Acha uongo nairobi nzima hakuna district kama sandton jburg in short kwa afrika katika miji mikubwa hakuna mji kama jburg na sio nairobiNairobi ni half London kabla hujaenda huko kwa wazungu hakikisha umepita Nairobi utoe tongo tongo
Ujamaa na Ccm vimetukosesha mambo mengi sana
Kigali ni ndogo sana kwa Nairobi kuanzia ukubwa wa eneo majengo na vingine ila kwa usafi Kigali ipo juu sana
Kilimani juu kabisa au hapa mwanzoniYap....
Niko Kilimani...
Wewe?
Wivu ya nini bro? 🤣
Huku Waridi Paradise...Kilimani juu kabisa au hapa mwanzoni
Huu ni ukapuku tu ,ndiyo sababu tukisema maandamano katiba ibadilishwe inaambulia patupu kama nyie ndo tegemeo .Acha uongo nairobi nzima hakuna district kama sandton jburg in short kwa afrika katika miji mikubwa hakuna mji kama jburg na sio nairobi
Nairobi iko overrated sana
Aaha Waridi Paradise, haupo mbali na nilipo MimiHuku Waridi Paradise...
Sasa?
Kadanganye watu wengineHuu ni ukapuku tu ,ndiyo sababu tukisema maandamano katiba ibadilishwe inaambulia patupu kama nyie ndo tegemeo .
Multinationals nyingi mpaka JP morgan juzi wametangaza presence in nairobi .
Kenya nje ya Nairobi ni kama kwetu tu ila ule mji upo advanced sana .
Sandton unaisifia ???ipo area nlipelekwa na jamaa fulan inaitwa muthaiga sijui muthiga na westlands, daah sandton haitoboi .
Na ndio jburg nimesafiri abt 4 times since 2019 ,south africa inshort ipo on a decline nlitarajia utasema banana island ,lagos angalau .
Jburg ipo infested na crime ,power blackouts ,na mji ule ni mchafu sana .Afadhali niishi dar hii hii ye2 ila sio ile dampo inayoitwa south africa .
SA imebaki kuwa white elephant tu
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Sasa mbona husemi ulipo?Aaha Waridi Paradise, haupo mbali na nilipo Mimi
Nipo around there where you areSasa mbona husemi ulipo?
Around haina jina?Nipo around there where you are
Mandhari ya Nairobi ni kama London,yaani miti miti ,majengo,hali ya hewa,Sheria za mji,mpango mji na muonekano wa kiasili yaani tamaduni ya uingereza.Kadanganye watu wengine
Jburg ufananishe na nairobi acha ukichaaa
Unaijua jburg vizuri
Yaan unaijua nchi ya south afrika usingeongea huo upupu ile nchi ina-mapungufu yake ila huwezi iweka mstari mmoja na kenya katika nchi zote afrika hakuna colony lililojengwa kama south afrika kuanzia pretoria, jburg, durban, capetown wazungu ile nchi waliijenga
Hata kwa gdp ya miji jburg ina gdp kubwa kuliko nchi yote ya kenya
alafu unaifananisha na nairobi tena kwa kujiamini tuacheni ujuaji
Umeshafika londonMandhari ya Nairobi ni kama London,yaani miti miti ,majengo,hali ya hewa,Sheria za mji,mpango mji na muonekano wa kiasili yaani tamaduni ya uingereza.
Wewe hukuelewa mada Wala siyo GDP sijui ukubwa Wala idadi ya majengo,Bure kabisa weye mtu hovyo.
Hushafika London?
Hapa umetupiga...Huu ni ukapuku tu ,ndiyo sababu tukisema maandamano katiba ibadilishwe inaambulia patupu kama nyie ndo tegemeo .
Multinationals nyingi mpaka JP morgan juzi wametangaza presence in nairobi .
Kenya nje ya Nairobi ni kama kwetu tu ila ule mji upo advanced sana .
Sandton unaisifia ???ipo area nlipelekwa na jamaa fulan inaitwa muthaiga sijui muthiga na westlands, daah sandton haitoboi .
Na ndio jburg nimesafiri abt 4 times since 2019 ,south africa inshort ipo on a decline nlitarajia utasema banana island ,lagos angalau .
Jburg ipo infested na crime ,power blackouts ,na mji ule ni mchafu sana .Afadhali niishi dar hii hii ye2 ila sio ile dampo inayoitwa south africa .
SA imebaki kuwa white elephant tu
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Wakenya hawashindwi kukuambia nchi yao iko sawa na nchi za ulaya na siku ukienda kama hujawah kuenda utakua dissapoint sana pa kawaida mno tofauti na tunavyoaminishwaHapa umetupiga...
Nairobi kwa sandton ni kijiji..kimsingi bado sana Nairobi kuifikia hata Durban ya south ni mtihani...kwa mji ule ni mchafu sana..
Nakubaliana na mtoa hoja Nairobi iko overrated...
Dar ikijengwa barabara za juu nyingi tu Nairobi haitakuwa kitu chochote mbele ya Dar...
Hapo chini ni sandton South Africa View attachment 2742636View attachment 2742637
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app