What's so special about Nairobi?

Sisi mbona kwenye madocumentary ya wanyama tunatajwa sana [emoji1] utasikia serengeri ngoroungorou

Kuna movie moja nimeisahau jina walikua wanaitaja Morogoro nilishangaa haha
 

Wale wanaoplan trips nje ya nchi changamkieni fursa watu wakajionee Nairobi haha
 
Uliposema Nairobi ni mbovu ulifikiria hilo? πŸ˜‚
Anyway, you've given us the answer.
Ukweli ni kwamba mawazo niliyokua nayo mwanzo sikutegemea na nilivyokuta....lakini haimaanishi kwamba hakuna vitu vizuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…