What's the story behind your avatar?

Mbona hujaisemea yakwako??!
Ngoja nikujibie kwa niaba yake, ni hivi:-

Nyuma ya hii alikuwa anatumia moja ambayo kuna mtu yumo ndani ya friji, sasa ikatokea siku moja kule jukwaa la Picha kuna mtu akaanzisha uzi wenye picha hiyo unayoiona hapo. Ghafla Khantwe akatokea kuipenda, akawaomba moderators wamuwekee.

Ni hivyo tu
 
Last edited by a moderator:
Napenda sana soka..cz nilicheza soka..nampenda pele mfalme wa soka...nawapenda brazil mabingwa wa kihistoria wa kombe la dunia
 
Mimi mwenyewe na washkj enzi hizo ...napenda kutokea kimasai
 
The pink and the brain my favourite cartoon, i would leave every just to watch Mr brain utamsikiaa anamwambia pink Pink! are you pondering what I'm pondering!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…