What's the story behind your avatar?

mimi ni Mandela, kifupi nina tabia za kimandela... na niligundua hili kipindi niko shule..
yaani mambo mengi nilikuwa nafanya kimandela mandela...
Nampenda Mandela!! R. I. P Tata

shkamoo mandela
 
Dah.. Mi nliona hata nikiweka picha yangu huwezi nijua wala kunielewa, nikatupia GIZA tu..
 
Hakuna mtu ambaye ameweka picha ambayo haiakisi tabia yake au muonekano wake....hivi ndivyo binadamu tulivyoumbwa.....hatuwez kuficha hisia zetu au muonekano wetu....
 
Napenda sana viatu na hela ninayoipata inaishiaga kununua viatu

Ndani kwako kutakuwa na shehena la viatu....naja unigawie. Katika vitu ambavyo huwa nasahau kununua ni viatu
 
Hakuna mtu ambaye ameweka picha ambayo haiakisi tabia yake au muonekano wake....hivi ndivyo binadamu tulivyoumbwa.....hatuwez kuficha hisia zetu au muonekano wetu....

Ni kweli kabisa mkuu..ila mimi nikiangalia picha yako hapo napata explanations zaidi ya hamsini
Unapenda wanawake wafupi?
Wewe ni mrefu mkeo mfupi?
Hiyo tofauti umeona ni kituko?
Ndio maana nikauuliza ili nijue maana halisi
 
Avatar yangu inaelezea kila kitu kuhusu nifah....
Ni kama 99.9% hivi.....
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…