Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kiangazi watu ndo hawalali, huwa wanaota tu
Binti angu huyo....:A S shade:
mimi ni Mandela, kifupi nina tabia za kimandela... na niligundua hili kipindi niko shule..
yaani mambo mengi nilikuwa nafanya kimandela mandela...
Nampenda Mandela!! R. I. P Tata
Hakuna mtu ambaye ameweka picha ambayo haiakisi tabia yake au muonekano wake....hivi ndivyo binadamu tulivyoumbwa.....hatuwez kuficha hisia zetu au muonekano wetu....
Heee makubwa
poa mkuuNikutafutie?
Avatar yangu inaelezea kila kitu kuhusu nifah....
Ni kama 99.9% hivi.....