What's the story behind your avatar?

What's the story behind your avatar?

Mechi ya mwisho ya Vodacom Premier League, msimu wa 2011/12 ambapo matokeo yalikua Simba S.C 5-0 Yanga S.C.
 
Mimi Martin L. King Mpigania haki na usawa. Jina mzamifu limebadilishwa kidogo kutoka mzamivu ya daktari wa falsafa. Napenda watu wenye lositive impact kwa wanadamu na duniia kwa ujumla
 
I love tedy bears alot, na ninao kama wa3 hivi, na moja niipendayo zaidi(cant afford loosing it) nilipewa zawadi na my late boyfriend, ndio hiyo kwenye avatar.

Pole atoto..I feel and understand U
 
Last edited by a moderator:
Kaizer cha pombe njoo baba uelezee avatar yako, na we Eli79 ndio nini kuchagua tolu ukamuweka? Tangu lini wapare warefu?
@ms.lincolin huyo uliyemuweka ndio nani?

Shemdarling unavonipendaa......si umeshaelezea sasa
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom