Hahaa aisee. Noma sana hii.Alishaambiwa akanye west yeye kagoma akanya east sasa hakuna namna lazima akayazoe
Heee wewe umeguswa wapi asubuhi yote hii unakuja kama .......ni wapi nimesema asilie ? Aliyesema wote tumezaliwa na mama yake ni nani ?
Yeye ndio wa kwanza kufiwa na mama ?
Dk Donda West amefariki Kanye akiwa na umri gani ?
Kama hicho ndio kigezo cha kuwa chizi waliofiwa na mama zao wakati wananyonya au mama anakufa wakati unatolewa kwa operation si watakuwa mashetani ?
Uanaume ni kuacha ya nyuma yapite na kusonga mbele
Yaani uulizwe maswali kutokana na ulichokisema halafu unasema haupo kwenye mood ya kubishana ? Anayebishana hapa nani ?aisee relax,siko kny mudi ya kubishana leo,so take a chill pill.
Yaani uulizwe maswali kutokana na ulichokisema halafu unasema haupo kwenye mood ya kubishana ? Anayebishana hapa nani ?
Chill pills aint even working no more for me
Bj suits me way up ..are u up for that ?
Oh really ? That's your best comeback ?gay weirdo.............
Yes!Oh really ? That's your best comeback ?
sijui mkuuMaskini?
Unajua ana bei gani kwenye card zake?
Kadarshian curse [emoji15]Hio Kardashian curse hata mi nimeona imeenea kweli. Ila dunia ina mengi sijui
Tupia madini mkuu wengine tunataka kujau zaidi,unitag mkuu najua unajua mengi zaidi kuhusu huu wanaouita ufreemasons na illuminati"I know this gonna cost me my family,my life and my entire career, ."
Ukwel ni kwamba kanye amepitia mengi sana watu wanaona juu juu, mojawapo kubwa ni la loss ya mama yake, pia usikilize wimbo vizur wa through the wire
jamaa amepitia magumu mengi... na kuhusu kuhusisha na freemason ama iluminati, sio strong point sababu he is already in there, halaf watu wanaishia kusema tu freemason ama iluminati kuna kitu huwa wanafanya na wasanii weng wakubwa wa marekani wamefanya, nikipata wasaa ntawambia the reality, na baadhi wamewahi kukiri hadharani..lakin clip za video zao hua hazionyeshwi sana labda utafute mwenyewe ...unajua mtu kama brad pitt hua anafanya nini kila mwezi ili azidi kufanikiwa katika filamu? unajua why mtoto wa usher alikufa? Unajua why michael alienda solo kutoka kundi la jackson five,unajua alijiunga na nini na kivipi ilikuaje? unajua stor ya lil wayne vizuri? Why saiv anapata kifafa na ansema antaka kuacha muziki,
unajua beyonce ndo ameingia rasmi humo mnapopaita iluminati japo sio iluminati ni namna nyingine japo pia na yeye ameanz kufundishwa umasonia awe kama mumewe jay z ambae ana rank/level kubwa katika vyeo vya umasonia...mnaijua stor ya dmx japo kuna mtu kadokeza kidogo laki hio ni kidogo....anyway ntakuja kuwapa haya mambo mjue ukweli.
Mkuu, kwahiyo tusiamini CNN/FOX/ETC VS WEWE(tukuamini wewe)??????? U'r kidding, wewe unatolea wapi taarifa kama hutaki kuamini media?????Kanye anataka kutoka huko Illuminati na wajua alisema Indirect kuwa alimtoa mama yake kafara for his success sasa hii kitu ilimla sana. That's why now he has seen the light anataka toka. But tatizo he knows too much kumuachia hivi hivi aropoke. Kama umemsikia kwenye Ile show anasema kuwa nachowaambia Ni ukweli people mnadanganywa na media zote. Anamnanga na mama Clinton pia ambaye kwenye kampeni ndio alikuwa Mtu wake ( she is Illuminati)
We hujiulizi kashuka tu kwenye show wamemata eti yuko insane wamempeleka rehab kwa lazima. Na huko watambrainwash akirudi atakuwa kama zombie just like walichomfanyia Britney Spears. Na hii ishu ya kufilisika wala hajafilisika. Kasema by telling u this truth naeka hatarini maisha yangu, mafanikio yangu.
DMX kamuelewa coz yalimtokea na ndipo akaokoka but most of the rappers Ni Illuminati that's why wako kimya hawamtetei msela
Mkuu tusiamini "international media vs tukuamini mtanzania usiye na media hata moja???????Are u a doctor? Kapiga nyimbo mbili vzri then akaongea ukweli. Then kushuka wamemuweka pingu wakamtia madawa huyo straight mpk mental institution .....walimpima SAA ngapi huko ukichaa. Au coz kawaongelea watu wao wazito kama mama Clinton,Jay z,Beyonce DJ Khalid, na hiyo TV yao MTV
The narrow mind leaves no room for self doubtYes!
You are cold and insensitive.
Kwa heri!
Si walisema sadam Ana mabomu ya nuclear but walikuta nini??Mkuu tusiamini "international media vs tukuamini mtanzania usiye na media hata moja???????
Why people don't want to discuss alichokuwa anakiongea. Yaani kuongea yake tu ameonekana kichaa. ??? Kuwachana watu ambao walikuwa karibu yake hapo mwanzo ndio ghafla awe kichaa ashuke tu jukwaani wamdake na pingu then direct mental institution??? Walimpima SAA ngapi?? Kuna kitu hakiko sawa.Mimi ni fan mkubwa wa Kanye, he's my fav rapper na nimekuwa nikimfuatilia toka mwanzo na kwenda kwenye concert zake.
Kanye ni outspoken, eccentric and erratic siku zote. Hajaanza jana wala juzi kuwa hivi alivyo sasa japo sasa inaonekana kazidi ni sababu media zina pay zaidi attention kwake na familia yake na zinapenda rants zake ili wauze.
Ukifuatilia story yake utagundua yeye kulipuka kaanza toka mtoto na huwa hacompromise kwa chochote kile asichokubaliana nacho. Alishawatukana capital records walipogoma kumsign wakati Bado ni underground producer na mambo mengine kibao.
Aidha inadaiwa jamaa ana mental issues kweli, Rhymefest partner wa kitambo wa Kanye waliyekua pamoja na aliyeandika nae nyimbo nyingi za zamani ikiwamo Jesus walks alisema zamani sana kwamba kanye ana mental issues ambazo inabidi azichukulie seriously. Sahizi nadhnai he had too much in his plate music, fashion, viatu, family, exhaustion ikampeleka to his breaking point.
Angekua ni msanii mwingine ningeshaa Zaidi ila toka kwa West sioni ajabu sana na I pray arudi na ngoma Kali kama alivyotuletea dark fantasy au 808s and heartbreak baada ya kupitia wakati mgumu. Hakuna cha Freemasons wala illuminati.
Na mbaya zaid anahusisha kifo cha mama take na kafara za illuminate ndio maana kinamsumbua sana kisaikolojia,Kanye tokea afiwe na mama yake alipata depression inayomsumbua hadi leo, inasemekana jamaa amekuwa na hasira iliyopitiliza na anaweza kukubadilikia muda wowote bila kujari wewe ni nani, ameshakwenda rehab mara kadhaa na councelling bila mafanikiko!
Na mbaya zaid anahusisha kifo cha mama take na kafara za illuminate ndio maana kinamsumbua sana kisaikolojia,
I sold the soul to the devil