Whats wrong with Kanye?

Lakinu kimsingi tunakubaliana kuwa dmx and kanye mibangi kwa sana ambayo ndio hard fact hayo mambo ya iluminati achana nayo!
 
Sasa ujadili alichoongea mwehu ili iwe nini?
 
Lakinu kimsingi tunakubaliana kuwa dmx and kanye mibangi kwa sana ambayo ndio hard fact hayo mambo ya iluminati achana nayo!
Bangi haimfanyi mtu achizike ingekua madawa hapo sawa tena bangi ndo inakufanya uwe more sane na hata kukufungua jicho lako la tatu na ndo maana wakubwa wanaiban na kuipa imge au sifa mbaya. Inawezekana Kanye akawa hayupo kwnye hio freemasonry au illuminati ila tatizo ni lipo kwnye hio industry aliopo kutusua huko sio jambo dogo it doesn't take talent na hardwork tu hapana kuna vitu lazima ufanye. Wanasema pay the devil his dues. Sasa hapo kwnye kumridhisha huyo aliekufanya uwe famous na relevant kwnye uso wa dunia ndipo shida kama hizi sasa huja.
 
Nani kammilikisha?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…