What's your favorite movie line/quote?

What's your favorite movie line/quote?

I'm not in danger, I'm the danger. Breaking bad
Kuna quote nyingi za breaking bad nilizipenda
 
Salaam wakuu,

Habari za furahi day?

Okay, mimi kama mpenzi wa movie hua napenda kuhakikisha hakuna kinachonipita hata sentensi moja na ndio maana hua napenda kuangalia movies zenye subs.

Huwa unakuta kwenye movie kuna punchline matata ambayo inakupa msisimko wa kutamani kujua actions zinazofata.

Personally ziko quotes nyingi tu, ila hii "l don't think you understand, these boys killed my dog" Nilijua kinachoenda kutokea itakua ni hatari... hebu tupia na zako
sio John Wick huyo?
 
hello pretty-huyo ni t-bag ndani ya prison break.
 
Back
Top Bottom