Makungaranga
Senior Member
- Sep 4, 2016
- 152
- 168
Hahaha hii line naikumbuka alafu nilicheka sna"I am not in danger..I am the danger" mzee Walter white akimwambia mke wake skyler
Sent using Jamii Forums mobile app
I ll be back.....Astalah vista[emoji4]
welcome to the prison land fish-fernando sucre akimkaribisha Michael Scofield.Salaam wakuu,
Habari za furahi day?
Okay, mimi kama mpenzi wa movie hua napenda kuhakikisha hakuna kinachonipita hata sentensi moja na ndio maana hua napenda kuangalia movies zenye subs.
Huwa unakuta kwenye movie kuna punchline matata ambayo inakupa msisimko wa kutamani kujua actions zinazofata.
Personally ziko quotes nyingi tu, ila hii "l don't think you understand, these boys killed my dog" Nilijua kinachoenda kutokea itakua ni hatari... hebu tupia na zako