Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aliyesema haya maneno ni Ghengis Khan ila Michael Jay-White aliyatumia sijui kwenye movie yake gani bhana.I am the commandment of God, if you have not committed a great sin God wouldn't have send one like me
the godfatherI will make him an offer he can't refuse_Dingi
Its not personal,it is strictly business, Kaka Michael
"the perfect blossom is a rare thing, you could spend your life looking for one,and it would not be a wasted life- The last samuraiSalaam wakuu,
Habari za furahi day? Okay, mimi kama mpenzi wa movie hua napenda kuhakikisha hakuna kinachonipita hata sentensi moja na ndio maana hua napenda kuangalia movies zenye subs. Hua unakuta kwenye movie kuna punchline matata ambayo inakupa msisimko wa kutamani kujua actions zinazofata. Personally ziko quotes nyingi tu, ila hii" I don't think you understand, these boys killed my dog." Nilijua kinachoenda kutokea itakua ni nyo.ko... hebu tupia na zako
Lolanything below his waist is MINE even if its small-Devious Maids
Waliikatisha..iko vizuri sana hii series ila sikuielewa ilivoisha isha pale aisee
Elly PopeYou want the truth?u can't handle the truth son!