Kummilikisha mtu mmoja mitandao mitatu mistake
Mark ameifanya hii mitandao kuwa na sheria moja akizima anazima kote
Ni kama serikali ilivyoiminya mifuko ya hifadhi jamii ikaifanya kitukimoja mwishowe na sheria zimekuwa moja likitokea la kutokea ni kote kote
Hata twiter nayo ingeuzwa leo napo ingekuwa kilio,
Hata hapa tz some time tigo ikizingua airtel na voda utakuta zinapiga mzigo hii ndo faida ya makampuni kujitegemea pasipo kufungamana na kuwa kitu kimoja