WhatsApp, Facebook na Instagram zatoweka hewani Oktaba 4, 2021

Hapa ndio umenichanganya kabisa..
Kwamba internet imekuja na way (cable) hadi bongo??
 
Kanipigia simu ananiuliza nifanyeje... nikamwambia tu weka bando pigia mmoja baada ya mwingine... ndio gharama ya kukubali kuwatumikia wananchi pale serikali kuu inapokutosa hahaha

Bora umempa ushauri apambane tu
 
Hawa FB wameinunua IG na Whatsapp ili waje kuioelekesha dunia, na ikatokea mtandao mwingine wataununua, hata hiyo tiktok watainunua tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…