FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Tumtumaini Mungu Mkuu.
Zitakaa sawa tu.
HaaTCRA wasema mpka kesho
Tunaotumia Ghost watsapp tunawashangaa
Siku nuingine usiwe mwepesi kukataa au kukubaliNdo umenifungua macho arifu.
Upo sahihi kaka mi nikajua net bhana kumbe kwa leo hazipatikan hewan!!
Tatizo binadamu wa siku hizi ni wabishi sanaPamekua kimya sana mpaka Raha...
Kwa ubishi wao wapo wanaohangaika kuendelea ku post kwenye Whatsapp...Tatizo binadamu wa siku hizi ni wabishi sana
Signal inadundaDuh!! Watu wote wamehamia Jf. Zuckebarg aendelee kushikilia tu. Watu waje Jf kupata mawazo mapya.
Tatizo gani la duniaNchi ipi?
Sababu ni tatizo la dunia
Umeingiliwa japo wenyewe hawajasema ila ndio wanashughulikia
Search kwenye google "african undersea cables" ujionee mwenyeweHapa ndio umenichanganya kabisa..
Kwamba internet imekuja na way (cable) hadi bongo??
DuuhNimefuta pilau nikijua storage
Katiba mpya inahitajikaIla hii yote ni vita ya mabeberu dhidi ya uchumi wetu wa kati. Angekuwepo Magufuli yasingetokea haya. Kidume kiliishinda korona itakuwa WhatsApp heheheheeeeeeee
Sisi ni dona kantre....