kamandamakini
Senior Member
- Feb 17, 2012
- 184
- 148
Tume enda signal ndio mbadala
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kurekebisha na kutafsiri ni sawa?Itafsiri kwa kiswahili
muiran hana intel hiyo... atakuwa muirani maana kutwa kucha kujiapiza kuishughulikia Marekani na Israili.
Inawezekana pia mambo ya covid tusubir tuoneInasemekana Facebook, Instagram na WhatsApp zimekuwa hacked na watu wasiojulikana hadi Mda huu Wafanyakazi wa Mitandao hiyo Wameshindwa kutatua tatizo hilo,
Duniani Kuna ma professional hackers hadi wameweza kuhack Apps zote kwa wakati mmoja hadi mdaa huu Mmiliki na wafanyakazi wameshindwa kutatua tatizo,
Inasemekana Kama Kuna wafanyakazi watabainika kuhusika na Kudukua Hizo Apps Watafukuzwa kazi
Kushutdown kwa Apps linaweza kuchukua Mda hadi kupatikana Solution
Poleni sana watumiaji wa mitandao kujitangaza na kuuza bidhaa zenu
[emoji1621]Nilikosea instead of Hack nikaandika Huck
Nilijua ni hapa romania tuMimi nilijua ni madrid tu.. Kumbe hata huko home?
Mkuu uko Romania mtaa gani?? Hii nchi inaongoza kwa urozi ulaya nzimaNilijua ni hapa romania tu
Facebook fake itakuaje io
TCRA wenyewe wamesemaje?Inasemekana Facebook, Instagram na WhatsApp zimekuwa hacked na watu wasiojulikana hadi Mda huu Wafanyakazi wa Mitandao hiyo Wameshindwa kutatua tatizo hilo,
Duniani Kuna ma professional hackers hadi wameweza kuhack Apps zote kwa wakati mmoja hadi mdaa huu Mmiliki na wafanyakazi wameshindwa kutatua tatizo,
Inasemekana Kama Kuna wafanyakazi watabainika kuhusika na Kudukua Hizo Apps Watafukuzwa kazi
Kushutdown kwa Apps linaweza kuchukua Mda hadi kupatikana Solution
Poleni sana watumiaji wa mitandao kujitangaza na kuuza bidhaa zenu
[emoji1621]Nilikosea instead of Hack nikaandika Huck
Atakuwa ni North Korea huyo au PutinMaadui wa Marekani wapo kazini
hapa bucharest mkuu 😊😊😊Mkuu uko Romania mtaa gani?? Hii nchi inaongoza kwa urozi ulaya nzima