Inasemekana Facebook, Instagram na WhatsApp zimekuwa hacked na watu wasiojulikana hadi Mda huu Wafanyakazi wa Mitandao hiyo Wameshindwa kutatua tatizo hilo,
Duniani Kuna ma professional hackers hadi wameweza kuhack Apps zote kwa wakati mmoja hadi mdaa huu Mmiliki na wafanyakazi wameshindwa kutatua tatizo,
Inasemekana Kama Kuna wafanyakazi watabainika kuhusika na Kudukua Hizo Apps Watafukuzwa kazi
Kushutdown kwa Apps linaweza kuchukua Mda hadi kupatikana Solution
Poleni sana watumiaji wa mitandao kujitangaza na kuuza bidhaa zenu
[emoji1621]Nilikosea instead of Hack nikaandika Huck